Watu 10 hatari nchini: Evarist Chahali akwepa mtego wa kwanza kutoka "kitengo"

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Naam.. Mambo yameanza kunoga.

Ile list ya watu waliotajwa kuwa hatari zaidi kwa usalama wa nchi imeanza kuwindwa.. Mmoja wa watu hao "hatari" ambaye aliwahi kutumikia Idara ya Usalama wa Taifa hapa nchini, Bwana Evarist Chahali ameanza 'kunusa' harufu ya mtego wa kumnasa anaodhani unasukwa na "kitengo".

Bwana Chahali, ambaye ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii anayeishi ughaibuni kwa sasa, ameonekana kushtukia mchezo wa kumtega kwa kutumia mbinu aliyoiita chungu cha asali (honeypot)..

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Chahali amesambaza tego hilo na kusindikiza na maneno pamoja na kicheko kwa kuandika; "Honeypot? Kitengo kazini
1f601.png
1f601.png
1f601.png
"

HP.JPG

My take: Inawezekana jamaa anajishtukia tu.. Kama huyo dada aliyemtext ni shabiki yake kweli atajisikiaje?!
 
Huyo binti kwenye picha ana majina mengi sana, mimi alishawahi kuniomba urafiki fb, mara anaitwa Doreen, ni msumbufu sana huko fb ukimkubalia, kanaomba-omba pesa sana hako kabinti ka kwenye picha, sasa sijajua kama kanatumika na watu wa usalama kapata details za watu au lah, mimi nili-mblock fb, sasa shida yake ukimblock anafungua tena account nyingine fb, anakuomba tena urafiki
 
View attachment 702564

Kiki za kipuuzi
 
Hahahaaa! Watu wa usalama wanakatumia kuomba omba pesa daah!
 
Sasa huyu shushushu mstaafu amekuwa paranoid!!,yaani kila kitu ,unahisi unawindwa!!
Huyu jamaa,ndio wale ambao walipewa kazi na ndugu zao,lakini hawa kuwa intelligent enough kustahili kuwepo ndani ya TISS
mkuu hili swali linaweza kuwa na mantiki, hivi kwa nini alitoka?
 
Naam.. Mambo yameanza kunoga.

Ile list ya watu waliotajwa kuwa hatari zaidi kwa usalama wa nchi imeanza kuwindwa.. Mmoja wa watu hao "hatari" ambaye aliwahi kutumikia Idara ya Usalama wa Taifa hapa nchini, Bwana Evarist Chahali ameanza 'kunusa' harufu ya mtego wa kumnasa anaodhani unasukwa na "kitengo".

Bwana Chahali, ambaye ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii anayeishi ughaibuni kwa sasa, ameonekana kushtukia mchezo wa kumtega kwa kutumia mbinu aliyoiita chungu cha asali (honeypot)..

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Chahali amesambaza tego hilo na kusindikiza na maneno pamoja na kicheko kwa kuandika; "Honeypot? Kitengo kazini
1f601.png
1f601.png
1f601.png
"

View attachment 702564

My take: Inawezekana jamaa anajishtukia tu.. Kama huyo dada aliyemtext ni shabiki yake kweli atajisikiaje?!
Chahali ni shushushu mzoefu hivyo mitego anaitambua sidhani kama anakurupuka.
 
Back
Top Bottom