Mm ni kijana wa miaka 30 ni chef mzoef wa vyakula vyote vya kiswahili pamoja na bites zote na pia naweza kutengeneza burger, pizza, all types of fried rice and many more pia naweza kuandaa menu na kufanya set up ya jikoni na kusimamia jiko vizuri...kwa mawasiliano 0785724008
Naomba msaada, mimi ni mpishi wa vyakula vyoote vya Kiswahil na bites mbalimbali na vya kizungu baadhi kama Pizza, burger, beef sizzla nk
Namba yang ni 0692111145
Mimi ni mpishi wa vyakula mbalimbali na bites pia niko Mwanza namba yang ni 0747271066 tafadhali yeyote mwenye fununu wap ntapata anijuze.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kuona mishipa ya uke inakaza hapo ndo shida mzee inabd tuchungulie au sio??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kwa nchi kama marekane kuna kaz nying sana labda awe anachagua na pengine labda hana work permit mzee..mwambie asichague kaz aisee apige kaz yeyote huko hakuna anayemjua bro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.