Natafuta kazi ya upishi, niko Dodoma

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,000
2,000
Naomba msaada, mimi ni mpishi wa vyakula vyoote vya Kiswahil na bites mbalimbali na vya kizungu baadhi kama Pizza, burger, beef sizzla nk

Namba yang ni 0692111145
Kama una ujuzi wa hivyo vitu ni bora ukapika ukawa watembeza mtaani hasa maeneo ya wana vyuo huko, ajira siku hizi shida brother
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom