PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
- Thread starter
- #21
Dah aisee kama una uwezo wa kumsaidia msaidieMkuu kama anahitaji ndoa niunganishe nae
Dah aisee kama una uwezo wa kumsaidia msaidieMkuu kama anahitaji ndoa niunganishe nae
Dah aisee kama una uwezo wa kumsaidia msaidie
Kwani hakuna homeless charities huko Boston,watamsaidia huku akijipanga mdogomgodo.Mkuu hiyo inawezekana.. Anaruhusiwa kuishi ad mwez wa 11.. View attachment 1094629
Sawa mkuu asante kwa ushauriKwani hakuna homeless charities huko Boston,watamsaidia huku akijipanga mdogomgodo.
Aliwahi kwenda ila anadai kuna matumizi makubwa ya madawa ya kulevya na kuna hatari zaidiKwani hakuna homeless charities huko Boston,watamsaidia huku akijipanga mdogomgodo.
Mtoto wa mama huyo nisamehe mkuu,kwani kuna mtu atakulazimisha kutumia madawa ya kulevya.Aliwahi kwenda ila anadai kuna matumizi makubwa ya madawa ya kulevya na kuna hatari zaidi
Ikiwa hana work permit na social security number aliwezaje kuendesha truck mkuu?, Manake hata driving license hawezi kupata bila ya hivyo vitu. Muulize yupo tayari kuhama state nyengine kufanya kazi hio chini ya meza. Niongee na wasela wangu kuleMkuu hiyo inawezekana.. Anaruhusiwa kuishi ad mwez wa 11.. View attachment 1094629
Aliwahi kwenda ila anadai kuna matumizi makubwa ya madawa ya kulevya na kuna hatari zaidi
Haeleweki, ndiyo maana watu wanakwambia siyo mwaminifu.Ni mwaminifu ila tatizo ni mgeni mkuu
Ndio anaweza kuhama mkuuIkiwa hana work permit na social security number aliwezaje kuendesha truck mkuu?, Manake hata driving license hawezi kupata bila ya hivyo vitu. Muulize yupo tayari kuhama state nyengine kufanya kazi hio chini ya meza. Niongee na wasela wangu kule
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sawa mkuuakiwin case yake nipm nimpe mchongo tuje kusogeza mwendo kas huku washington d.c