Recent content by dan87

  1. dan87

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi na Askari mnatumia nini kuzuia ndevu na vipele?

    Heavy weight ndezi, unata kuua mwenzio?
  2. dan87

    JamiiForums Tanzania TFF kumpelekea kipa Manula kocha mpya wa makipa Taifa Stars, Kaseja ni kuhatarisha hasa performance ya timu nzima kimatokeo

    Haja stafu ila mkataba wake na KMC uliishia hakuongezewa muda na hakupata timu Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  3. dan87

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    I will I must, thank you Sent using Jamii Forums mobile app
  4. dan87

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ila Bailly anajiamini sana, huwa namwelewa sana akiwa kazini Sent using Jamii Forums mobile app
  5. dan87

    JamiiForums Tanzania Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Yes, nimeanza phase one, nina nguruwe 4, nitawapandisha disemba mwishoni
  6. dan87

    JamiiForums Tanzania Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Au tupo busy tunalisha?
  7. dan87

    JamiiForums Tanzania Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Hii thread ilifika mwisho?
  8. dan87

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Mbolea nzuri ya kupandia ni DAP AU Yaramila otesha, utahitaji almost 24 to 30 kg ya mbegu kwaajili ya ekari Tatu. Bei ya mbegu kwa sasa 12,000 kwa pakti yenye 2kg
  9. dan87

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    IPO wapi hiyo Gari?
  10. dan87

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Magufuli Ruangwa na sanaa za viongozi

    Kuna jengo matata la Tanesco limefunguliwa huko
  11. dan87

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kiongozi habari, nipo mkoa wa njombe mji Makambako, nimejenga umbali wa takribani 1km kutoka Umeme wa REA ulipo ishia. Naomba kufahamu natakiwa kupitia mchakato gani ili kuweza kupata Umeme huko! Eneo hili ni kwa ajili ya kuishi na kufanya ufugaji Nitashukuru kama nitajibiwa
  12. dan87

    JamiiForums Tanzania Nataka nikope pesa Bayport

    Unapochukua mkopo lazima ujue utaratibu wa marejesho upoje! Bayport makato huenda monthly ambayo ni 3% that means annual interest ni 36%. Hivyo ukichukua mkopo fikiria interest pia muda utakao kaa nayo hiyo hela! Baada ya hapo fanya maamuzi ukiwa na taarifa hizo
  13. dan87

    JamiiForums Tanzania Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Unafanyia wapi?
  14. dan87

    JamiiForums Tanzania Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

    Nashukuru kwa bandiko hili, bila shaka utafanikiwa vizuri kabisa, Ninawazo la kufuga nguruwe, eneo tayari ninalo kama ekari moja lipo nje ya mji kiasi, na tayari nimeanza kujenga kibanda changu then nifuate mabanda ya nguruwe. Nafikiri kuanza na nguruwe 5 tuu ili nijifunze na kuona namna ya...
  15. dan87

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Aiseeee!
Back
Top Bottom