Nilishawahi kula tunda kimasihara hadi leo naendelea kulila kwa sbb tu ostadhati alinifananisha na jamaake wa zamani daah ….mwanamke ana akili fulani za ajabu sana hata kuna mwanangu alikua anamiliki pisi moja kali na anaihudumia ila kuna mshikaji wang mwingine hana hata maisha ila kafanana na...
Tanzania wazito sana katika kutunza na kutoa historia za mambo ya nchini kwetu nimekaa Mgulani pale 4yrs ila sijawahi ambiwa chochote hadi pale katika pita pita zangu nikaona mnara
Walishajenga Mkuu mnara japo Tanzania hatunaga utamaduni wa kuwa enzi waliokufa iwe ni kishujaa au kikawaida unaweza kaa pale mgulani hata 10yrs na usijue chochote ila kama ni mtu wa kuzurura sana ndio utaona
We mtoa post acha kutuzuga kingereza tunajua kasema “to improve” elewa neno tu imporve “achieve or produce something better than” Ku improve ni kuboresha sio kutengeneza upya anaboresha kulingana na ongezeko la technolojia au ongezeko la watu hio ipo duniani kote sawa na matoleo ya simu...
Bro kinachopiganiwa hapa ni kikubwa kuliko hata huo mpira Amani ikikosekana kwa watu kuendelea kupotea na kuuawa huo mpira hautakuwa na maana …Sema wa Tanzania tuna ugonjwa wa Afya ya Akili Kwene mambo ya Maana tunakua nyuma nyuma Maandamano ya aman kupinga mauaji ila wa Tanzania tulivo...
Mimi MTanzania ila Jiji la Dar-es-salaam ni very poor katika miundo mbinu ya barabara sbb mara nyingi miundo mbinu yetu haiwi planned na serikali inaanzishwa na mwananchi aliyevamia ardhi na baadae kuja kukarabatiwa na serikali hata kama ni miembamba au imepita mahali sio na ulinganifu...
ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno ….jiwe lililokataliwa na waasi limekua jiwe kuu…..au Yusufu mtoto wa Yacobo alivouzwa na kaka zake utumwani akageuka mfalme….sisi hatuna muda wa kuthamini vitu vinavyotazamiwa kuja kuwa vizuri watoto wapo DIT na NIT pale wako so inovative ila kila siku...
maonyo au mafunzo kwa watoto zamani yakikua yanatoka na vitisho ili kuweka mkazo wa watoto kuwa na tabia njema kwa mfano ilikua inasemekana ukinyoosha kidole makaburini kidole kinavimba, ukikojoa make sure unatema mate unless utavimba uboo mtu akiruka mkojo wako….. usiongee huku unakula...
sisi mkuu umasikini wetu ni wa akili mali tunazo…..wenzetu wakiwa masikini unakuta hawana mali ila akili wanazo ndio maana wanatumia akili kuja kurubuni Africa ambako hatuna akili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.