Recent content by DaMie

  1. DaMie

    JamiiForums Tanzania Enzi ya Magufuli siyo sawa na enzi ya Kikwete

    Kula Like Mkuu Eti Hawa Ghasia! Ishh
  2. DaMie

    JamiiForums Tanzania Mungu wa ajabu.... Mboga jamii ya matunda yaliyoumbwa kwa namna ya kufurahisha..

    hahahaha kweli aisee biringanya ni ndogo
  3. DaMie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za mwanaume rijali, soma ili ujue upo kundi gani

    kweli kabisa. na ndivyo inavyotakiwa. Asantee
  4. DaMie

    JamiiForums Tanzania Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Nunua SINGER kama bado yapo. kwa wazazi wangu lipo lina miaka 50 sasa na linapiga kazi. na halijawai kuisha gas wala matengenezo yoyote zaidi ya kulipulizia rangi.
  5. DaMie

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wachagga vikao vya misiba kufanyikia Bar mpaka lini!

    Proud to be mchaga kweli.
  6. DaMie

    JamiiForums Tanzania Picha: Kutoka 'Share a Coke' hadi 'Share a Mbege'

    ohh kiu kiu kiu na hivi ni furaiday leo. Aikambee
  7. DaMie

    JamiiForums Tanzania Kijana Sande Mrema mwenye umri wa miaka 25 mwenye kilo 250 ashushwa kwenye ndege

    HUKO ITV kuna habari zilizotufikia hivi punde. Amefariki tayari huyu kijana.
  8. DaMie

    JamiiForums Tanzania NMB Mobile ni janga la kitaifa

    Niliwahi kutuma pesa fasta. Niliyemtumia alipata sms ya kutumiwa. Mimi niliyetuma sikupata sms ya kumpatia niliyemtumia ili aweze kutoa hiyo hela. kwenda bank nikapewa fomu nijaze. miezi nne hela yangu haijarudi.
  9. DaMie

    JamiiForums Tanzania Hii sasa laana, uvumilivu baasi

    @Benteke Sa ww baada ya kuivaa ungemwonesha jinsi inavyokukaa. Ili akubali usivae, kisa cha kutembea dushe linatingishika kwa kutoshikwa vema na G-String Nimecheka.
  10. DaMie

    JamiiForums Tanzania UDOM kimenuka.

    Tky Mi nk CNMS
  11. DaMie

    JamiiForums Tanzania UDOM kimenuka.

    Twilumba mie mzima. Salamu zimefika.
  12. DaMie

    JamiiForums Tanzania UDOM kimenuka.

    Mbn sie huku inaendelea au college ipi wamegoma?
  13. DaMie

    JamiiForums Tanzania Picha: Madenge, Pimbi, Komredi Kipepe

    Hivi, bingwa wa rivasi na chogo la kalunde walikua jarida vile?
  14. DaMie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

    Ha ha ha Babu bana, Bibi je hukumchangia?
Back
Top Bottom