Picha: Madenge, Pimbi, Komredi Kipepe

Picha: Madenge, Pimbi, Komredi Kipepe

Timu nzima mzee meko ndiye alikuwa anavaa shati, nakumbuka kuna game kulitokea valangati basi mzee Huihui wa Bush Stars akawakaba kabali wachezaji wawili wa Born Town akawauliza "kwani nyie mlikuwa mnasemaje".

!
!
hahahahahaha noma sana mkuu unanikumbusha mbaaaali sana mkuu wa nchi
 
daa mnanukumbusha mbali sana gazeti lilikuwa likitoka mala moja kwa mwaka hilo
 
haaa haaa haaa baby ake kumbe kipindi hicho ulikuwa bado hujaja mjini?

Baby ake apo bado kabisa mbona hadi sa ivi bado nipo kijijini sijaja mjini bado! Sema sa ivi ndo hakuna Sani TV tunaangalizia kwa mkiti
 
!
!
hahahahahaha noma sana mkuu unanikumbusha mbaaaali sana mkuu wa nchi

Nakumbuka kipindi hicho home Kasulu tunasubiri kwa hamu sana hili gazeti, kuna jamaa kama wawili tulikuwa nao class kaka zao walikua DSM ndio walikuwa wanatutumia kwa Treni.

Kwa hiyo wale wajanja wa class ndio mnakuwa wa kwanza kwanza kusoma hafu mnawasimulia wenzenu, duh! Ilikuwa kama kusubiria 24 watoe season nyingine aisee!

Basi Chino nilikuwa namwogopa balaa, ukiona Mzee Ole anasema Zumo umeshindwa afunguliwe Chino unajua hali ni tete, unatetemeka kama kweli, Chino alikuwa anavaa chup ya chuma hivi, dah!
 
ilikuwa kama muvie flani...hahahahaha kuna siku moja Mzee Kifimbo cheza aliingia choo cha kike wale watoto wa kijiweni Wakamwambia tafsiri zooote ila ya mwisho wakapa.........NA KATA FUNUA NDIO HII, walimtandika bonge la mtamaaaa hahahahahaha
 
Tulikuwa tuna-copy sana misemo kama Skan (home), Kusanuka-kuharibika, nikamdekishia - nikamwangalia. Ha ha ha, basi tunaelewana members tu. Manano kama mshkaji tulianza kuyaona Sani kwa Mzee Kifimbo.
 
Kapimbi kalikuwa na gundu sijuwi bado au alisha safisha nyota
 
Nakumbuka miaka kama sikosei 1986 nilimwita jamaa mmoja "wewe pimbi nini?" baada ya kuwa anenizingu issue moja alikairika sana .
 
daaah siku hizi majalida mengi yamekuwa ni kwa ajili ya wadada wenye makalio makubwa na stori za ngono tuu tumelimiss sana Sani
 
Hivi, bingwa wa rivasi na
chogo la kalunde walikua
jarida vile?
 
Mie nimeyamisi majembe ya kwenye Jarida la Bongo akina Jua kali/kibaka, Ndumilakuwili/tapeli, Chepe/mzee wa fix, mapung'o/mchezaji na fidodido
 
Back
Top Bottom