sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Hivi Vodacom na Tigo wangekuwa na utaratibu mpaka ufike vodashop ndio tatizo lako LA hela litashughulikiwa ingekuwa hatari.
Ni kweli kabisa Mkuu, ila kumbuka hapa tunazungumzia makampuni mawili tofauti NMB na Vodacom, ndo mana mlolongo unakuwa mrefu kidogo. Kuna baadhi ya case huwa hazna mlolongo, mf. labda mteja anatoa hela katka ATM, alafu zkatoka pungufu, akleta malalamiko ndani ya mda mfupi tunampatia hela yake iliyopungua. Vodacom na Tigo wanakuwa faster kwa sababu miamala yao inakuwa inakuwa katika kampuni hiyo hiyo. Nadhani umenisoma mkuu.