UDOM kimenuka.

Tky

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
439
140
Leo wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitakiwa waanze mitihani yao ya kumalza semister ya pili, walimu wamegoma kutoa mitihani wakidai semister ya kwanza hawakulpwa hela za kusimamia na kusahisha.
 
si nasikia Pinda kasema mfanye mitihani bila kulipa ada?sasa watalipwa na fedha zipi?Pinda atoe pesa walipwe bana.
 
acha ushamba wewe, kutolipa ada na walimu kutolipwa ni vitu viwili tofauti.
 
Leo wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitakiwa waanze mitihani yao ya kumalza semister ya pili, walimu wamegoma kutoa mitihani wakidai semister ya kwanza hawakulpwa hela za kusimamia na kusahisha.

Public University is under politics,,,,,its unacceptable
 
Leo wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma ilitakiwa waanze mitihani yao ya kumalza semister ya pili, walimu wamegoma kutoa mitihani wakidai semister ya kwanza hawakulpwa hela za kusimamia na kusahisha.
Toka lini vyuo vya umma vinawalipa walimu kwa kusimamia na kusahihisha Mitihani? Au vyuo vingine vina pesa hivyo na vinabania tu? Naomba kujulishwa.
 
hii nchi itaokolewa na walim tu,kama ni kwel walimu wanaendelea na mtihan mim kwangu raha, maana hizo sijui social hzna impact kwangu. Mtoto wangu anawasubir hao walimu.
 
Serikali ya wanafunzi kutoa tamko saa kumi jioni kama hakuna dalili ya kufanya mitihani.
 
Back
Top Bottom