Hawayangoi
kuna namna mbili
Ya kwanza ni wanabandika gamba juu ya meno yako halisi, ila itafanya meno yako yaonekane makubwa
Ya pili ni wanakwangua meno yako halisi ili pawe na nafasi ya kupachika meno bandia (picha chini inaonesha meno yaliyokwanguliwa kwaajili ya kuandaa kuweka Veneers)...
Kwa Picha alizotuma mkuu
Hayo meno ni Bandia(Veneers)
Kiashiria kikubwa ni meno ya tatu(Canine), ya kawaida yana asili ya mchongoko kwenye picha yote yanafanana kama meno ya mbele(incisors)
Ko kama Bongotunacheza unataka hivyo, sio dawa tena ni daktari(dentist) anahitajika
Chukua unachotaka kuchukua:
A. JKT ni upotevu wa muda, ratiba za jkt na kujiandikisha chuo na mikopo zinaingiliana sana utajikuta unakurupuka. Tulia (Ila usipumzike😂) fuatila kama ni chuo gani utaenda? Je mazingira utayaweza? Ukishajua chuo gani unaenda vitu vya kusoma vitajichuja
B. Angalia...
Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.