Recent content by dalalitz

  1. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

    Utopolo mwingine ndio huu.
  2. dalalitz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwa mimi mama mkwe ni halali na huwa wanakuwa watamu sana

    Shemeji kwa-Dada yako, Nae akimzagamua Bi.Mkubwa-wako nalo likufurahishe.
  3. dalalitz

    JamiiForums Tanzania French learning thread

    Hawa Wamatumbi ndio wanaokivuruga Kifaransa. Usiombe akufundishe Kifaransa Mkongo, Msingi mbovu kama kufundishwa Kiingereza na Mkenya. Bindeandonedat
  4. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Umri wa Humphrey Polepole

    Kumbeee,!! Humu kuna wakati huwa pengine tunawakosea Adabu 'Madingi na Mamazeri' wetu kabisa. Tunawachukulia poa na kudhani ni ma-eji-meti zetu. Fikiria watu wana mvua 50+, Na-hawasemi? Shikamooni ma-EJI-GO :D
  5. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Nina eneo nataka kuweka maonyesho ya saba saba

    Boresha kisha Pangisha ila usijitangaze wala kujaribu kurasmisha namna unayoisema. Kuna mamba yaniahusu Serikali, yanaendeshwa na Serikali na sivinginevyo.
  6. dalalitz

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

    Hapo apitishwe na kule upande wa pili purrrrrrrrr,rrr Wavae jezi kisha, Asimamishwe, GL aka 'Mangi'. Huo mtanange wake R-CHUGA ungenoga balaa.
  7. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Nina eneo nataka kuweka maonyesho ya saba saba

    Wewe endelea tu mkuu.
  8. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Nina eneo nataka kuweka maonyesho ya saba saba

    Kwamba na wewe una Serikali yako sasa ndani ha JMT? Usijichetue watu wamalize 'awamu' na wewe.
  9. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

    Unaleta masihara kwenye hoja nyeti.
  10. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

    Unajua wewe ni Kantuni sana sana?:D:D
  11. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabati za kuziogopa

    Uzuri katila hili upo mbadala, EZEKA MAKUTI. Nawasilisha.
  12. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Video :Hindi moja libebe watoto(mahindi)8?Mbegu gani hii?

    GMO Lazima.
  13. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

    Ungesikiliza mahojiano aliyofanyiwa wala usinge tengeneza Uzi, Na iwapo hujamuelewa omba ueleweshwe, inaruhusiwa.
  14. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Hizi picha kama mwafrika mweusi najivunia hawa miamba kutuwakilisha vema katika secret service ya utawala wa Trump

    Tatizo ume-limit msg privacy. Ningekupa exclusive kuhusiana na mada yako hii. Lakini usijali saaana.
  15. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania waishio nchi za Ulaya na Amerika Wana matatizo ya Afya ya Akili

    Ungejibu kwa Hoja ingependez ujue. Matusi, Mh wengine hatujalelewa vibaya.
Back
Top Bottom