French learning thread

French learning thread

Mkuu mara yako ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ilikuwa mwaka gani na kwa sababu zipi?
Na ulikuwa na umri gani
That's too personal to tell japo hata huu muda ninaotype sipo Bongo ila ukiwa mtu wa kusafiri ndo utajua umuhimu wa lugha, raia wa nchi nyingi za ulaya ukitoa UK hawazungumzi kabisa kingereza na hawakijui
 
Kwa nini uogope kuelezea. Thats not too personal maana Wabongo waliotoka nje wapo wengi na taarifa zao zitafanana tu na zako. Kuna taarifa ni too personal to tell ila sio hizo nilizokuuliza mimi

Nita travel. Bado mimi ni too young naamini muda upo wa kufanya hivyo.
Nina mpango wa kusafiri sana nikiwa na my life kama nisipokufa mapema of course. Kwa sasa sina uwezo huo
Ila nilikuuliza hilo swali maana nimechukia hiyo statement ya "Hauna exposure".
It was so rude and unnecessary

And yeah, Ulaya kuna wengi hawajui Kiingereza kwa sababu kila nchi wanaongea lugha yao. Na lugha za Ulaya ni nyingi, sio tu Kifaransa
 
You are too young for sure, mara yangu ya kwanza kutoka nje ilikua ni mwaka 2018 kwenda Ottawa kwenye Presentation ya research nikiwa na miaka 21. Baada ya miaka minne mbele nmekuwa ni mtu wa kusafiri huku na kule kwa sababu mbalimbali zikiwemo biashara na utalii
 
Hongera.. Najua una enjoy maana kusafiri nchi mbalimbali ni raha sana
 
Hivi Kifaransa ukijua utakitumia wapi? Au ndo mpaka uende Ufaransa maana naona ni lugha famous sana ila sielewi umuhimu wake ni nini. Na hakuna biashara nyingi ambazo Tanzania tunafanya na Ufaransa
Mtu anieleweshe
Ni lugha muhimu sana na ni miongoni mwa lugha zinazotumika zaidi duniani.
 
Bolingo na ngai
Motemaa na ngai
Mingi malamu

Hawa Wamatumbi ndio wanaokivuruga Kifaransa.
Usiombe akufundishe Kifaransa Mkongo,
Msingi mbovu kama kufundishwa Kiingereza na Mkenya.
Bindeandonedat
 
Back
Top Bottom