Recent content by Dakarai

  1. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Action ---- Reaction unatakA kujua why wanaume Wana react hivyo baadae ya kuwa mistreated/betrayed 😊
  2. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

    Ni lini mwanaume amekuwa dhaifu? Hebu futa huo usemi kumuita mwanaume dhaifu . Umesema hisia? Ow yes! Men are capable of love. And we are vulnerable when it comes to love . Na tunapopenda huwa tunaingia mazima. Kwaiyo nikiwa mtu siweI kuzuia hisia zangu ndio naitwa dhaifu? Kwaiyo nimevutiwa na...
  3. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna mtu amegonga miaka 30+ na hana mpenzi wala Mtoto?

    Ow! Kwanini mkuu unadhani ni upumbavu!!
  4. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Tatizo mnafanya kusudi kutokuelewa kilichotokea. Ni kweli city walikuwa wanacheza vizuri Lakini walikiuka sharti la ligi Hakuna kutumia booster Yaani uende round zote bila ya mkongo, Viagra na mazaga mengine. Walikuwa wanasjili wachezaji wazuri (gharama) wengi kutosha kupambana round zote...
  5. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Arsenal Wala hatunashida sisi furaha yetu ni kwamba tumeshinda city pamoja na nbanga zake zote. Pia hiyo inamaanisha ilipaswa arsenal, liver na Man u kubeba ligi
  6. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Kazi mnayo Arsenal hatuhusiki. Pep alisema akijua kama team Ina mdanganya ataondoka na hatotaka urafi na team Tena
  7. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Pole mkuu. Kwasasa ngumu mtu kukuelezea ukaelwa. Unajua kama hacker aliyevujisha file lenu kakamatwa na jamaa hana wasisi kwasababu anajua anachokifanya.
  8. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Mkuu wewe ni shabiki wa man City? 😄
  9. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Wanasemaga energy don't lie . Mkuu hujawahi kutana na mtu arafu ulipomuoma pasipo hata kuongea nae akawa anakupa vibe la mtu flani familiar? Yes sometimes watu Wana same spirit/energy Hivi ni ngumu kumtambua mtu evil ane pretend kuwa mwema? Mkuu! Nikiendelea nitazua mada nyingine ya...
  10. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Sawa mkuu
  11. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tunamkubali au Kumkataa Mtu Bila Sababu?

    Nitaanzia mbali kidogo Zingatia huu mfuatano 1.Spirit 2.soul 3.body 1. Spirit (Intuition/ Conscience) 2. Soul (Intellect/emotions/will) 3. Body (Touch/smell/hearing/taste) Zingatia Tena hapa Spirit is your CORE Your spirit is energy Your spirit radiates energy Na kingine siku zote spirit...
  12. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kusema Man City Wana defence nzuri au nyumbu walikuwa hawajui wanachokifanya . Kulikoni mkuu
  13. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tabia za Benardo Silva
  14. Dakarai

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni kama Bruno alikuwa anajua anachokifanya na kikatimia
Back
Top Bottom