Mikutano ya CHADEMA nchi nzima inaboresha mapungufu ya Oct 29

Maaandano hawakuratibu chadema 100% , is why walikuwa ndani takriban viongoz wote

Kusema wanataka kupindua serikal ni false, unaendaje kupindua serikal huna silaha, huna plan , huna support?
Yaani wewe husikii Heche anasema nini kwenye mikutano yake mikoani.

Itakuwa ajabu kama serikali itamwachia Heche aendelee kuandaa watu wafanye mapinduzi ambayo hayatafeli kama yale ya oct29.

Silaha walilkuwa nazo, acha kabisa. Huwezi kuzima moto nchi nzima kwa wakati mmoja. Mkakati ni kupora silaha za askari na makambi.
 
Polisi wanapewa bunduki na risasi kulinda benki ili kuua wezi. Kama umepewa bunduki na risasi ili kulinda TRA, sheli, Bank na mahakama lakini hukuitumia kulinda ili zichomwe moto na kuibiwa maana yake wewe polisi utakuwa unahusika.

Hata wakiandamana leo hii na kuanza kuchoma mali za umma na watu binafsi lazima watauliwa tena. Bahati mbaya tu ni kuwa hakuna mtoto wa mwanasiasa, mchungaji, sheikh, professor wala tajiri ambae aliuliwa kwenye kadhia ile; hawakushiriki kabisa. Hii inaonyesha kuwa wanasiasa na wafadhili wa vurugu walitumia watoto wa masikini, vibaka na watumia madawa kufanikisha vurugu zile huku watoto, ndugu na jamaa zao wakiwa majumbani na sehemu salama kabisa.

Vijana wetu wanahitaji elimu ya namna ya kufiri na kufikiria (tafakari).

Hauna akili Timamu.
Mimi Huwa sijibu vichaa.

Nakupiga Ignore
 
Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji mdogo mikoani.

Hii ya sasa inalenga kuziba pengo hilo.

Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na kusikia kila kitu wanachosema na kupanga.
Generation ya wapumbavu kama wewe ikiisha ndio nchi itaendelea na kuwa na amani
 
Kumbe hujui kitu kiasi hiki.
 
Hauna akili Timamu.
Mimi Huwa sijibu vichaa.

Nakupiga Ignore
Utanionea tu kaka, huwezi kuchoma TRA wakati kuna mlinzi mwenye bunduki. Kama unabisha nenda pale ubalozi wa marekani ukachome gari moja tu tuone utafanywa nini. Tuache uzembe
 
Generation ya wapumbavu kama wewe ikiisha ndio nchi itaendelea na kuwa na amani
Mpumbavu nini kuwaaminisha vijana kuwa Tundu Lissu akiwa Ikulu vijana watakuwa peponi. Ujinga kama huu waliufanya wahuni kule Libya, Iraq, Somalia, Sudani Kusini na Sudani Khartom, Liberia, Malawi na Kenya. Hali zao zimezidi kudidimia baada ya kubadilisha vyama na viongozi.
 
Wanadhani watanzania ni mazuzu wa kiasi wanachodhani. Wanadhani wale wanaokuja kwenye mikutano yao wako tayari kufa kipuuzi. Wanadhani vijana hawajui kwamba watoto wa viongozi wa chadema hawakuuliwa hata mmoja kwenye maandamano yale. Wanadhani hawajui kwamba watoto wa Lissu, Lema, Heche wako wapi hivi sasa.
MKUu?
 
Kwenye tathimini yao juu ya kwanini Oct 29 hawakufanikiwa kuiangusha serikali wakagundua kuwa mikoa mingi haikushiriki kwenye vurugu zile. Na sababu kubwa ya kutoshiriki wakagundua ni uhamasishaji mdogo mikoani.

Hii ya sasa inalenga kuziba pengo hilo.

Kuweni macho mara 3 zaidi kuona na kusikia kila kitu wanachosema na kupanga.
Mavi ya mama. Chawa wa kijani na nzi wa chooni.
 
Mpumbavu nini kuwaaminisha vijana kuwa Tundu Lissu akiwa Ikulu vijana watakuwa peponi. Ujinga kama huu waliufanya wahuni kule Libya, Iraq, Somalia, Sudani Kusini na Sudani Khartom, Liberia, Malawi na Kenya. Hali zao zimezidi kudidimia baada ya kubadilisha vyama na viongozi.
Wewe ni mpumbavu pro mjinga kabisa wewe. So Kila kilichofeli kwingine lazima na hapa kifeli? Ulisoma wapi wewe pimbi? Sasa unawatisha watu kwamba kwakuwa Malawi sijui wapi vimefeli na hapa itakuwa hivyo? Ndo mana mnaiba kura na kuiba watu?
Hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa na siyo mapolisi.
Tanzania Kuna mapolisi 40000 tu
Jidanganye IPO siku
Mavi ya mama oyee
 
Mavi ya mama. Chawa wa kijani na nzi wa chooni.
Eti wanatutaka tuige mapito ya waliyopita Libya, Sudani, Iraq na Somalia; mavi ya kunya. Kwani sinema za Lybia, Sudani na Iraq ziliishaje? Nchi hizo zimechafuka vibaya sana na Wananchi wa nchi hizo wako tayari kufia baharini kwenda ulaya kuzikimbia nchi zao na kuwaacha mabeberu wakizikomba rasilimali zao kirahisi kabisa. Eti Heche anataka na sisi tuige upumbavu huo.

Ni heri tufungiwe misaada totoro kabisa kulilo kuruhusu ya Libya na Sudani yaje huku.
 
Eti wanatutaka tuige mapito ya waliyopita Libya, Sudani, Iraq na Somalia; mavi ya kunya. Kwani sinema za Lybia, Sudani na Iraq ziliishaje? Nchi hizo zimecgafuka vibaya sana na Wananchi wa nchi hizo wako tayari kufia vaharini kwenda ulaya kuzikimbia nchi zao. Eti Heche anataka na sisi tuige upumbavu huo.

Ni heri tufungiwe misaada totoro kabisa kulilo kuruhusu ya Libya na Sudani yaje huku.
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Wewe ni mpumbavu pro mjinga kabisa wewe. So Kila kilichofeli kwingine lazima na hapa kifeli? Ulisoma wapi wewe pimbi? Sasa unawatisha watu kwamba kwakuwa Malawi sijui wapi vimefeli na hapa itakuwa hivyo? Ndo mana mnaiba kura na kuiba watu?
Hoja za kisiasa hujibiwa kisiasa na siyo mapolisi.
Tanzania Kuna mapolisi 40000 tu
Jidanganye IPO siku
Mavi ya mama oyee
Unatupakaza upumbavu eti nyie hamtafeli. Kinga ni bora kuliko kubahatisha kwa kipumbavu kama huko. Hamna sera wala mkakati mbadala wa kuvuna na kuuza rasilimali zetu. Afrika yote imekwamishwa makusudi na kuitwa dunia ya tatu wa wapumbavu haohao.
 
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
Kama Kagame na Museveni vyama vyao wapo madarakani kwa niaka zaidi ya 30 hata CCM inao uwezo kamili wa kukaa madarakani miaka yote hadi pale nchi itakapopata viongozi na vyama vya upinzani imara visivyoendeshwa na wakoloni. Hatuwezi kwa hiari yetu kuwakabidhi wakoloni nchi yetu kwa hila na ulaghai wa demokrasia.

Nchi lazima itawalike na wananchi wajione kuwa wako salama kufanya mambo yao. Ukichoma barabara zetu tulizozitaabikia kwa jasho na damu lazima utajuta tu.
 
Kama Kagame na Museveni vyama vyao wapo madarakani kwa niaka zaidi ya 30 hata CCM inao uwezo kamili wa kukaa madarakani miaka yote hadi pale nchi itakapopata viongozi na vyama vya upinzani imara visivyoendeshwa na wakoloni. Hatuwezi kwa hiari yetu kuwakabidhi wakoloni nchi yetu kwa hila na ulaghai wa demokrasia.
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
 
Unatupakaza upumbavu eti nyie hamtafeli. Kinga ni bora kuliko kubahatisha kwa kipumbavu kama huko. Hamna sera wala mkakati mbadala wa kuvuna na kuuza rasilimali zetu. Afrika yote imekwamishwa makusudi na kuitwa dunia ya tatu wa wapumbavu haohao.
Sasa Tanzania Ina rasilimali Gani ambazo hazijauzwa Bado kwa wageni? Unapigia kelele vitu ambavyo vinajulikana? Nani aliuzwa buzwagi na migodi yoote hapa Tanzania? Ni wqpinzani au ccm?
Wewe umeuza mpaka bandari unabwabwaja ujinga tu?
Ile gesi ya mtwara mlikopoga watu mabomu , ngorongoro na kwinginepo inakusaidia nn wewe
 
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
Bahati mbaya wote humu tunapiga domo tu humu hatuendi kwenye maandamano. Hebu nenda kaandamane uone namna nchi yetu ilivyokuwa imara na tayari kulinda watu na mali zao kwa gharama yoyote.

Kama katiba haiwezi kuwahakikishia watu usalama wao na mali zao dhidi ya kikundi kidogo cha watu basi katiba hiyo haifai. Yaani uandamene siku ya 77 ambayo polisi wengi wanahitajika kulinda usalama wa watu na mali zao barabarani na viwanja vya sabasaba si unajitafutia balaa wewe?
 
Back
Top Bottom