Mwanamke ukiwa kwenye ndoa angalia unatimiziwa mahitaji yako. Wajibu Wa Mme ni kuhakikishia familia, kula, kuvaa, watoto wanaenda shule na mambo mengine. Ukitaka kujua mmeo anamicjepuko mingap mtafariki Wa bp kila Siku.
Wanaume tuna huruma sana, huko nje kuna wanawake wenzenu tukiwaacha...