Duuh!! Kweli ccm ni chama cha wabaguzi daah! Nimejaribu kupitia uchangiaji wa watu humu lakini nimeona ubaguzi mwingi sana.... Ila ipo siku inshaalah mungu yupo
Kama unaona kero LOWASSA kusikika kwene media ata wewe usinge mtaja humu, ujiskii aibu? Unajidai utaki jambo flani wakati ww mwenyewe hilo jambo flani unalitangaza
Katika maisha yangu yote sijawai ata kuchinja kuku wala mfugo wwte unaoliwa, lkn leo hii nikiwekewa uyo jecha mbele yangu alafu niambiwe nimchinje' haki ya mungu nitamchinja bila huruma tena uku namuangalia usoni
Mimi namshukuru mungu kwakweli mtoto wangu wa kwanza nimempata nikiwa na miaka19 sasahivi nina miaka35 inamana mtoto alizaliwa mwaka 1999 wa pili nilimpata mwaka2005 wa tatu mwaka 2006 anaitwa SEAN jumla nina watoto nane wengine sijawataja ila kila mtoto na mama ake namshukuru mungu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.