Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kama kuna watu wanastahili tuzo version ya nobel prize hapa TanZania basi ni Waziri Nape Nnauye (CCM), huyu Nape pamoja na Viongozi wengine ndiyo moja kati ya watu walioikoa TanZania kutoka kwenye makucha wa mafisadi ambao walikuwa wamejizatiti hasa kuichukuwa hii nchi!
Nape amepambana kuanzia siku ya kwanza, usiku na mchana dhidi ya mafisadi ambao walikuwa na nguvu ya fedha, Nape alitumia muda mwingi sana pmj na wananchi na viongozi wengine kupambana kwa kila njia kuhakikisha hii nchi haipotei na kushikwa Mafisadi, na kupigana alipigana kweli kweli, naweza kusema bila ya Nape na Viongozi wengine kujitoa mhanga tulikuwa tumeshaipoteza TZ yetu kama tuijuavyo kwani ilifikia mahali nchi yetu ilikuwa inaendeshwa na mwenye fedha, haki ilikuwa inanunuliwa, leo hii Mungu mkubwa kwa juhudi za Nape na viongozi wengine wazalendo nchi imerudi kwetu Wakulima na Wafanyakazi chini ya kiongozi wetu Mzalendo Raisi Magufuli!
Hongera Nape, hii ni dedication kwako kwa kuwashinda Mafisadi na Mafisi vinginevyo saa hizi wengine tungekuwa tunatafuta nchi ya kwenda kuishi pmj na familia zetu kwani matumaini ya masikini yangetoweka kabisa chini ya fisadi Lowasa & Co.!