Wana jf
katika kampeni zilizokuwa zikiendelea za urais Lowasa alikuwa akitusisitiza sana tujitahidi tushinde uchaguzi huu. tukishindwa basi hatutaweza shinda uchaguzi mwingine tena kwa miaka ijayo. sasa ndio nimekukuja kumwelewa kwa sababu zifuatazo
1) alimjua mpinzani wake Magufuli namna ya utendaji kazi wake ulivyo hana utani na mambo yanayohusu nchi na wananchi wake.
2) alijua atakuwa ameshachuja na kupoteza mvuto tena mbele ya wananchi. umri utakuwa umemtupa mkono.
3) alijua kabisa inawezekana hakuta kuwa na ukawa tena kwa hiyo muungano uliokuwepo ni bora kutumia fursa hiyo kwa umakini sana
4) alikuwa akimhofia Dr Slaa na Lipumba kwamba ujio wao wa mara ya pili hautamuweka salama.
5) alikuwa amepanga kurudisha mahela aliyotumia yake na marafiki zake kwenye kampeni kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita aliokuwa akijiandaa na urais. asingepata tena muda wa kuzirudisha.
hoja sasa iliyopo atupe ushauri kwa sasa maana hakuna hope ya kupata dola kutoka kwa mtu mwenyewe Magufuli. anakaba mpaka penati. hatuna ajenda tena kama ambayo ilikuwepo kabla ya ujio wa Lowasa na marafiki zake. nini kifanyike.
hatu a uhakika sasa na muungano wa ukawa. tayari una matatizo kama alivyohisia hapo nyuma.