prince uweri
Senior Member
- Feb 6, 2016
- 112
- 88
Haya mambo ya diplamasia sijui nini ...ni kweli yana umuhimu wake kwa namna moja ama nyingine lakini isingekuwa busara kwa mkuu wa inchi iliyo taabani kiuongozi kama bongo land yetu kuacha kuhangaikia uthabiti wa uongozi na kuanza kujenga mahusiano na mataifa ya nje eakati mahusiani ya ndani hayajatengamaa. Ikumbukwe uchaguzi umeacha majetaha me