Bro pole sana, naomba ufikirie tu kama atakuelewa je, atakupenda tena kama zamani!? Ukipata jibu lichanganue vizuri kama ameweza kutamka kwa kinywa chake basi kifuatacho kukukataa mbele za watu!!! Huyu ni kicheche ila wewe ulimtazama tofauti,hukukosea kumuamini ila yeye amedhihirisha kuwa hukuwa...