Habari Wana DIT,
Natumaini mko poa
Kuna mdogo wangu wa mwaka wa kwanza diploma, 2025 mechanical department.
Huyu dogo mwaka 2023 alijiunga na dit ila Kuna somo hakufanya sup akatakiwa arudie mwaka. Na hii 2024-2025 ndo karudia hilo somo.
Ila sasa mpaka sasa mfumo unaonesha yuko mwaka husika...
Habari zenu ndugu zanguni.
Swali: mwanamke miaka 27 mjamzito (miezi 2,mimba ya kwanza ) ila bado anapata matone kdogo ya damu kuptia njia yake ya haja ndogo...je tatizo linaweza kuwa ni nn? Na nn suluhisho la tatzo husika japo mimba haijatoka
Sent from my KYV40 using JamiiForums mobile app
Habari zenu wakuu,
Mwaka jana niliona fursa za kusoma nje nkaamua nijaribu kuomba, ila sikupata, pamoja na kuambatanisha vigezo vyote na documents kamili zilizohitajika.
Mfano mzuri ni hizi 'full funded international scholarship' nyingi zinazokuwa chini ya mashirika na taasisi, mfano UNICEF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.