Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Habar za mda huuu wakuu naitaji msaada mi ni mwalimu naitaji kujiunga na DIT mwaka huuu bachelor of laboratory science and technology miaka 4 Kwa ambao hatujasoma diploma ya maabara nimefuatilia sijaelewa maelezo ya jumla ya ada Kwa tunaojilipia ili nijipange vizuri naombeni anae jua anielekeze
 
Mwl. Matobo wa DIT idara ya umeme Mungu anakuona....kuwapa wanafunzi robo tatu ya darasa retake si sawa.
 
Jamani hapo DIT tunapata shida kusaini boom, inaonyesha nipo km 856 wakati nipo chuoni shida nini???
 
Habar za mda huuu wakuu naitaji msaada mi ni mwalimu naitaji kujiunga na DIT mwaka huuu bachelor of laboratory science and technology miaka 4 Kwa ambao hatujasoma diploma ya maabara nimefuatilia sijaelewa maelezo ya jumla ya ada Kwa tunaojilipia ili nijipange vizuri naombeni anae jua anielekeze
Salama mwalimu unasoma hyo ukimaliza ukirudi kituoni kwako kazi zake utafanyia wapi ufafanuzi kidogo niijue hii kozi
 
Dirisha lipo wazi.
IMG-20250603-WA0035.jpg
 
Habari Wana DIT,
Natumaini mko poa

Kuna mdogo wangu wa mwaka wa kwanza diploma, 2025 mechanical department.
Huyu dogo mwaka 2023 alijiunga na dit ila Kuna somo hakufanya sup akatakiwa arudie mwaka. Na hii 2024-2025 ndo karudia hilo somo.
Ila sasa mpaka sasa mfumo unaonesha yuko mwaka husika, ila mfumo haukubali kutengeneza control number ili aweze kulipia ada. Mpaka sasa dirisha la kulipia ada limefungwa wanadai arudie tena mwaka.
Sasa nawaza hapa ni nani wa kumcheki pale DIT anaehusika na kutatua jambo hili?
Nimekwama kabisa ndugu zangu.

Msaada wenu tafadhari
 
Back
Top Bottom