Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Kwani wanochanjwa hawana akili? Si wamejiridhisha? Huwezi kumtukana hivi raisi wako halafu unaangaliwa tu!!! Eti achanjwe zote milioni moja!!! Who is Gwajima to us? Kwani yeye kuwa ni msemaji wetu watanzania? Is he a scientist? a pharmasist? Ni mtaalam wa nini hasa? Who is he? is he a preacher? He claimed to resurrect, why did he not resurrect our president? Was he there when the vaccine was being manufactured? Huyu ni mjanja fulani tu anayejua kuongea na kupotosha watu!!! Hii theory kwamba wazungu wanataka kutumaliza, hivi mzungu akitaka kutumaliza lazima atumie chanjo itakayompoint moja kwa moja? Tunatumia kila kitu cha wazungu kwanini hawatumalizi kupitia vitu vyao tunavyovitumia? Why all the trouble kutengeneza chanjo when they can finish us in an instant with no hussle!!!!
Nenda kwenye hoja acha kulialia..

Sent from my KYV40 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wanochanjwa hawana akili? Si wamejiridhisha? Huwezi kumtukana hivi raisi wako halafu unaangaliwa tu!!! Eti achanjwe zote milioni moja!!! Who is Gwajima to us? Kwani yeye kuwa ni msemaji wetu watanzania? Is he a scientist? a pharmasist? Ni mtaalam wa nini hasa? Who is he? is he a preacher? He claimed to resurrect, why did he not resurrect our president? Was he there when the vaccine was being manufactured? Huyu ni mjanja fulani tu anayejua kuongea na kupotosha watu!!! Hii theory kwamba wazungu wanataka kutumaliza, hivi mzungu akitaka kutumaliza lazima atumie chanjo itakayompoint moja kwa moja? Tunatumia kila kitu cha wazungu kwanini hawatumalizi kupitia vitu vyao tunavyovitumia? Why all the trouble kutengeneza chanjo when they can finish us in an instant with no hussle!!!!
Mkuu hawa watu wanatia hasira mno. Gwajima ni mhuni mmoja anayecheza na mindset finyu za baadhi ya watu tu. Hana lolote. Unamsikia anasema etu mtu akitaka kumuua yeye huyo mtu anaangamia kabla yake. Yaani kile kitendo cha kufikiria tu kumfanyia jambo baya, basi wewe unakuwa umeshajimaliza mwenyewe. Anajifanya yeye ni masiha mpakwa mafuta. Sidhani kama Mungu anaweza kuwa na ukaribu na mtu wa aina hii!
 
Unamsikia anasema etu mtu akitaka kumuua yeye huyo mtu anaangamia kabla yake. Yaani kile kitendo cha kufikiria tu kumfanyia jambo baya, basi wewe unakuwa umeshajimaliza mwenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana serikali imejua chanjo ina madhara na haitaki kujitenga na Dunia ikiogopa kibano cha uchumi!!IMEAMUA KUMTUMIA GWAJIMA KUSEMA UKWELI HUKU YENYEWE IKISAPOTI KIJANJA!!!
Basi tuna serikali ya ajabu kuwahi kutokea
 
Back
Top Bottom