Msaada: Sehemu sahihi naweza pata maharage njano mkoani Morogoro au Mbeya

d coy++++

Member
Jan 1, 2016
30
17
Habari ya uzima wakuu?

Naombeni msaada kwa anaefahamu vijiji bora kwa ulimaji na udharishaji wa maharage hasa ya njano kwa mkoa wa morogoro au mbeya.
Lengo ni mimi kufika kwa haraka huko na kufanya nao biashara.

Nitashukuru kwa msaada wenu.
 
Back
Top Bottom