Recent content by cute datty

  1. cute datty

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkubwa ni Mungu peke yake
  2. cute datty

    JamiiForums Tanzania Mbunge Peter Lijualikali akamatwa baada ya kupost picha ya mtu aliyedai ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Huyu Cocochannel ni mzima kweli mtu anaongelea kuhusu usalama wake ye anasema anatafuta Kiki lol!
  3. cute datty

    JamiiForums Tanzania Mbunge Peter Lijualikali akamatwa baada ya kupost picha ya mtu aliyedai ni Afisa wa Usalama wa Taifa

    Kabisaa hapo ndo tutajua kweli jeshi la polisi linatenda haki
  4. cute datty

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la 'not enough space'

    Asante sana mkuu Ngoja nijaribu then nitakupa mrejesho
  5. cute datty

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la 'not enough space'

    Tecno C8 best
  6. cute datty

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la 'not enough space'

    Sd card ni mpya kabisa na ina memory ya kutosha tu lakini ndo hivyo inakataa nikiupdate apps
  7. cute datty

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la 'not enough space'

    Habari zenu wataalam wa JF , Naomba kuuliza kitu, Simu yangu internal memory ilijaa nimenunua Sd card Gb 8 lakini nikitaka kuupdate apps mf WhatsApp n.k inaniambia not enough memory na tayari nilishaiset picha na vitu vingine niki download vyote vinaingia kwenye Sd card kasoro hizo apps tu...
  8. cute datty

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa Waliochaguliwa Kidato cha tano, Wanafunzi 3,000 waliofaulu waachwa

    Tafadhali Naomba kushea uzoefu wa shule ya secondary kiteto iliyopo Manyara , Mtoto wangu kachaguliwa hapo kwenda kidato cha tano nina hitaji kujua vitu vifuatavyo : 1)Mazingira ya shule yako vipi? 2)Uniform zao zina rangi gani?! 3)Je ina walimu wa kutosha? 4)Je academically wako vizuri...
  9. cute datty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanaume niliyenae

    Yaani ningempata wa hivi ningefurahije maana nisivopenda kukazwakazwa kila wakati
  10. cute datty

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Duh pole sana big Boss kama ulivyosema safari ndo kwanza inaanza Tuko nyuma yako
  11. cute datty

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Mkuu funguka kidogo si wote wanajua mfalme wa Morocco kaahidi nini. Kwanza kuna mwingine hata hajui kama Kuna ugeni hapa nchini.
  12. cute datty

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi a Tanzanian Socialite is back!!

    Unajua inaumiza sana, alichofanyiwa Mange na kina Rachel, Nambua etc si kizuri kabisa kipindi yeye anataka kuolewa mpk waliwatafuta wakwe zake na mange na kuwapa profile la mange na pia waliwatukana sana wazazi mange matusi ya Nguoni. Waache na wenyewe wapate joto ya jiwe lol!
  13. cute datty

    JamiiForums Tanzania Wizkid amtosa Shilole, apata mpenzi mpya kwao na akina Kim Kardashian

    Mnogo flani amazing
  14. cute datty

    JamiiForums Tanzania Natangaza kuiunga mkono CHADEMA katika maisha yangu yote yaliyosalia hapa duniani, Mungu nisaidie

    Ur most welcome bro , God bless you.
  15. cute datty

    JamiiForums Tanzania Mjane wa Erasto Msuya apandishwa Kizimbani Kisutu

    Linaitwa tufaha au nimekosea??
Back
Top Bottom