Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

Maxence Melo, Kaka pole sana kwa yote.

Nakumbuka siku ya mwisho ya mkutano mkuu wa Bloggers pale pspf building wakati ukitoa mada nilipata nafasi kuchangia na nikasema kuhusu ulichokiongea kuwa ni kitu kizito sana kisichukuliwe wepesi, japo wengi hawakuelewa.

Na kabla ya mkutano kuisha uliaga kuondoka lakini mlangoni tulikutana nikakupa moyo maana kutokana na uliloongea pale nilijua si mbali something it going to happen to you!. Kama unakumbuka.

But nnachotaka wengine waelewe japo umekisema ni nafasi ya mtu kuwepo kwa ajili ya wengine ila kuna ambao hawaelewi thamani ya neno la mtu kwa ajili ya wengine.
(TOGETHER WE'RE)
 
Tupo pamoja sana mkuu wetu! Mungu atalisimamia hili na nina imani atakuwa upande wetu na tutashinda....
 
MUNGU AKUTIE NGUVU NA ATASIMAMA NA KUJIDHIHIRISHA JUU YA HILI
 
Maxence Melo you are fighting a good cause war ......, the history will honour you as an eminent individual who is giving his energy and resources for the weak and oppressed ...
The right of expression is in a really trial !!!
 
Back
Top Bottom