Msaada kuhusu tatizo la 'not enough space'

habari zenu wakuu mimi nina simu yangu Tecno boom j5 lkin kinachonishangaza ni kuwa nikidownload app naambiwa not enough space lkn nikiizima na kuiwasha ile app ina download ss ttz ni nn!!!?
Flash hiyo simu
 
Tatizo ni wewe na utumiaji wako hiyo simu ina ram 1gb ROM 16gb umejaza nini?
 
s̸i̸j̸a̸j̸a̸z̸a̸ v̸i̸t̸u̸ v̸i̸n̸g̸i̸ n̸i̸n̸a̸ m̸a̸g̸e̸m̸u̸ k̸a̸m̸a̸ s̸i̸t̸a̸ h̸i̸v̸ p̸a̸m̸o̸j̸a̸ n̸a̸ a̸p̸p̸ z̸a̸ k̸a̸w̸a̸i̸d̸a̸ t̸u̸
 
Nina simu kama hiyo Miaka 2 hajawawahi nisumbua Jaribu reset
 
s̸i̸j̸a̸j̸a̸z̸a̸ v̸i̸t̸u̸ v̸i̸n̸g̸i̸ n̸i̸n̸a̸ m̸a̸g̸e̸m̸u̸ k̸a̸m̸a̸ s̸i̸t̸a̸ h̸i̸v̸ p̸a̸m̸o̸j̸a̸ n̸a̸ a̸p̸p̸ z̸a̸ k̸a̸w̸a̸i̸d̸a̸ t̸u̸
Reset hiyo simu toa laini na memory
 
Habari zenu wataalam wa JF , Naomba kuuliza kitu, Simu yangu internal memory ilijaa nimenunua Sd card Gb 8 lakini nikitaka kuupdate apps mf WhatsApp n.k inaniambia not enough memory na tayari nilishaiset picha na vitu vingine niki download vyote vinaingia kwenye Sd card kasoro hizo apps tu. Nifanyeje ili niweze kuupdate apps zangu?
 
Sd card ni mpya kabisa na ina memory ya kutosha tu lakini ndo hivyo inakataa nikiupdate apps
 
tafuta file manager ndani ya simu yako halafu fungua utaletewa mafolder ya simu shuka chini hadi uone folder limeandikwa whatsapp ingia humo kisha ingia media kisha ingia whatsapp video kisha utaona folder limeandikwa sent ingia humo futa video zote, kama unatuma sana video utapata nafasi ya kutosha.

kama bado nenda gallery kafute video ulizotumiwa au kuchukua na camera, alternative kama bado unazitaka zi cut au zi move kwenda sd card.
 
Asante sana mkuu Ngoja nijaribu then nitakupa mrejesho
 
Back
Top Bottom