Recent content by curie

  1. curie

    JamiiForums Tanzania WAZO LA KUPUNGUZA AJALI ZA OVERTAKING

    Mfano ni njia ya kibaha kimala haina ajali za kizembe zembe
  2. curie

    JamiiForums Tanzania Uamuzi kesi ya Said Issa dhidi ya bodi ya Wadhamini wa CHADEMA

    Huyu said alisahau nini chadema anapenda keshi kama wahaya na ardhi
  3. curie

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutoa Leseni za Ualimu kupitia Bodi ya Taaluma ya Ualimu

    Walimu kazi wanayo makato kibao sasa inakuja ya bodi
  4. curie

    JamiiForums Tanzania Usiache kununua ardhi. Niliyojifunza Goba sikufanya makosa Madale

    Broo umeongea kwa uchungu sana
  5. curie

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Mkuu saidia hizi njia za panya na mm nipate mpunga wangu Sisi ni nduugu wa mama tofauti.Nitaomba ni ku DM
  6. curie

    JamiiForums Tanzania KERO Nimenyimwa Mafao yangu NSSF

    Ni na mm hii inshu imenikumbuka Mwaka huu nilikuwa nimebakiza siku 25 tuu kulipwa Naambiwa nina kazi serikalini.Hapa nawaza naipataje hii ela
  7. curie

    JamiiForums Tanzania Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

    Tulitegemea TBS ndo waseme jezi sio bora DAB ametumia kigezo gani kusema feki
  8. curie

    JamiiForums Tanzania BYD Ti 7 inampa nightmares Land Rover Defender.

    Kwakweli inatanichukua muda kuamini bidhaa za kichina.
  9. curie

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu sana kwa Kingai binafsi, familia yake, waliomtuma na Jeshi la Polisi kwa kuweka mpira kwapani

    Hahaha kingai kaogopa msumari wa mwisho kupiga yeye kawatuma maboda na. Yeriko
  10. curie

    JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Lissu anajua makando kando lundo ya jeshi ndo maana
  11. curie

    JamiiForums Tanzania Daktari anayedaiwa kumpiga trafiki aachiwa kwa dhamana

    Dr na hakimu ni ndugu wa kutoka kanda yetu. Ile hatupendi ujinga
  12. curie

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Mm naona tumuokoteshe huyu shujaa wetu haya majamaa yanayovaa haya manguo meupe yanajiona malaika
Back
Top Bottom