Ukifuatilia utaona, wanaoalikwa kwenye vipindi star TV ni wale wenye mrengo wa kijani...lakini pia wasema hovyo media kama ITV hawawezi kumualika msema hovyo...maana wanajitambua. Viva ITV
Hivi wana CCM, mnajisikiaje nyie mnavyotumia muda na nguvu nyingi kumkashifu EL....alafu hamjibiwi? Wakati yeye akitangaza Sera tu. Cjackia mkitaja ESCROW....semeni na hili kidogo
Jana kupitia kipindi cha jahazi Musa akiwa katika mahojiano na Paul anayetuhumiwa kwa kumrushia chupa Mzee Jaji Walioba, alitumia lugha ambayo kimsingi inaaina ya uchochezi na ukosefu wa maadiri ndani yake. Hii ilimtoka baada tu ya kuhojiana na Makonda na kuripot kuwa juhudi za kumpata Mzee...
Hizo cost naona kama hazina uhalisia kwa jiji la Dar....mfano ukumbi now days, Gari la maharusi,gharama ya suti, upambaji, gauni la bib harusi, MC
Pia cjana Cake hapo....gharama hizo unatafuta stress my frnd.
Tutachonga sana....lakini Lowasa pamoja na kwamba anakashifa...alionyesha mfano mzuri...katika suala zima la uwajibikaji....alituhumiwa...akaamua kuwajibika kwa kujihudhuru...viongozi wangapi wamekumbwa na kashifa wakawajibika wanyewe....lakini pia hakuna mtu asiye jua utendaji wa huyu...
Haraka haraka....kwa ccm namuona Lowa nikiongozi anayeweza kuisimamia nchi hii...ktk misinga ya sheria na si vinginevyo....akipitishwa nitampa kura ya urais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.