yurickzuberi
Member
- Aug 14, 2015
- 32
- 4
Lowasa ni mpango wa mungu tunampenda
Pumba tupu,mgonjwa wenu mpelekeni muhimbili
Ni Lowasa
Lowasa ni mpango wa mungu tunampenda
Pumba tupu,mgonjwa wenu mpelekeni muhimbili
Daah mtoa mada vipi sasa Lowasa kashinda huo uraisi aliokuwa anautaka????
Lowasa ni mpango wa mungu tunampenda
chali, kifo cha mende, kwisha, kwisha kabisaaa. Tuliomsikia babu duni tulidhani ccm wasingepata hata mbunge mmoja.ccm ndembendembe
Dalili za anguko la ccm na mabadiliko yaliyotabiriwa zinamwangukia LOWASA kama shujaa alyeandaliwa ktk mabadiliko hayo.
binadam wanatabia ya kupuuza utabir na kutoamn mpaka jambo litokee,hata mm mwanzon skuamn hata kidogo kama hili ndo linaweza kuwa ndo anguko kuu la ccm lililotabiriwa na hayati baba wa taifa,Julius Kambarage Nyerere.
Nmemtafakar sana lowasa alpoanzia na misukosuko ilyompata na wakati wote ktk vpind hvo alvojeruhiwa amekuwa akipita salama,nafkr nguvu ya mabadiliko alyoyabeba ndo yamekuwa yakimuchelewesha na wakati wake umefka sasa.
ukiunganisha dot zote za utabir kuanzia Nyerere alvotabir mabadiliko,TB joshua juu ya Lowasa,Mchungaj alyesema kama lowasa hatakuwa Rais auwawe,Sheikh yahaya kuhusu Lowasa 2015,Askofu kakobe juu ya anguko kuu la ccm 2015 Namna ambavyo ukawa imezaliwa na kuweza kudumu mpaka wakati huu wa uchaguz,na ngao alyoibeba ya mabadiliko iliyoaandaliwa na chadema mda mrefu ya M4C (Movement for Change) .dalil za CCM kuanza kulalamika,kuparanganyika na kuamua kutumia matus na kashifa juu ya Lowasa ni dalili za kushindwa mwaka huu.DALILI ZOTE ZINAONESHA NI LOWASA.