Salamu Mh.
Napenda kuchukua fulsa hii kuongea nawe kuhusu jimbo letu Ubungo,Mh. naomba utufikishie swala hili mahali husika,swala ni barabara ya Mabibo Mwisho hadi Kona ya urafiki,barabara hii muda si mrefu itapotea kwani imeharibika sana,yaani ni mashimo tu kuanzia hapo mahakama ya ndizi hadi...