Re: Certified copies of academic certificates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Certified copies of academic certificates

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Insabhunsa Gusa, Jul 20, 2012.

 1. I

  Insabhunsa Gusa Senior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  Naomba nifafanulieni kuhusu Certified Copies...Kuna baadhi ya watangaza ajira/kazi hutaka certified copies..Hii ina maaana gani?? Ni original copy iliyopigwa muhuri wa chuo au muhuri wa mwanasheria?? Naomba ufafanuzi, huenda ninakosa kazi kwa ajili hii..Mimi nikiapply kazi, hutoa copies za chuo na sekondari na kuambatanisha na letter of application basi, napeleka. Labda kuna jambo linatakiwa kufanywa kwenye copies za vyeti?? Nisaidieni leo jamani..,Kuna kazi nime apply na leo jioni ndo deadline, asanteni...
   
 2. k

  kiwembe1983 Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  certified true copy of original....chukua vyeti vyako original,piga copies kadhaa then peleka kwa mwanasheria au hakimu
  copies hizo pamoja na originals zake atakupigia muhuri kwenye copies hizo pamoja na kusaini.maana yake atakua amethibitisha hizo ni true copies of originals which you are ready to present in person upon request.
   
 3. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kiwembe amejibu vizuri tu.
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu umemaliza chuo gani? Nisamehe nimeshindwa kujizuia kuuliza swali hilo! Ninashangaa miaka yako yote ya kukaa chuoni hadi kupewa vyeti hujui maana ya certified copies zinazohitajiwa na waajiri.......loh.......hii ni indicator nyingine ya uduni wa elimu katika vyuo vyetu.
   
 5. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  kimbia kwa manasheria haraka na kopi za vyeti akakusainie
   
 6. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  vyuo vya kata
   
 7. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  kweli watafuta ajira tuna kazi. kucertifie cheti kimoja Tsh 3000 manake muhuli au sahihi moja ya mwanasheria ni Tsh 3000. Assume kuna taasisi tatu zimetangaza kazi ainamoja na hayo ndo masharti. bado stamp, hela ya magazeti.

  Kwakweli kazi tunayo.
   
 8. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Usiogope. JF ni zaidi ya kununua magazeti. Pia kama unatafuta ajira nenda zilipo maktaba za mikoa unajisajili kama mwanachama halafu unakuwa unaenda kusoma magazeti yote yanayotoka kila siku kwa ada yako ya uanachama wa kudumu na kama wewe si mwanachama wa kudumu basi unaweza kenda kulipia uanachama wa muda tu yaaani kwa siku moja then utasoma magazet yote uyatakayo.
  Tumi mbinu hiyo mimi ilinisaidia sana wakati nasaka kibarua nilikua ninaenda maktaba kuu DSM kwa wiki mara moja nalipia sh 1000 kwa kutumia maktaba kwa siku then nasoma magazeti yote yaliyotoka wiki nzima na Mungu alinisaidia nilipata kazi kupitia matangazo ya magazetini.
  USIKATE TAMAA JARIBU KILA FURSA UIONAYO MBELE YAKO
   
 9. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60

  mkuu nakushauri hvi.Hzo kopi utakazopga muhuri wa mwanasheria zitunze na ikiwezekana zwekee lamination ili uwe unatolea kopi hzohzo kuzuia gharama za kugonga mihuri unapoomba kaz zingne.Nawasilisha
   
 10. C

  Crecent Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jibu sahihi kabisa.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  watanzania kama wewe ndo wanahitajika,,,,,,umeweka pembeni lawama ukauvaa upambanaji,,,,karibu futari mlingotini,kesho itakua MSOGA
   
 12. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kuwa kulalamika hakutasaidia kitu chochote jambo la kufanya ni kupambana na maisha....... mara nyingi vijana tunailaumu serikali kwa mambo mengi ya ajira, mikopo ya elimu ya juu n.k lakini tumesahau kuwa haya ni maisha ya mtu mmoja mmoja kila mtu apambane kwa namna awezavyo.
  Umewahi kuwafikiria vijana waishio nchi za Somalia ambazo hazina serikali nzuri kwa karibia miaka 20 sasa lakini wapo na wanaendesha maisha yao na wengine wana degree zao pamoja na kuwa hawana stable government.
  Wito wangu ni kuwa vijana we have to assume kuwa hakuna mtu wakutusaidia na km yupo anataka kutusaidia kwa maslahi yake binafsi hivo ni lazima tupambane
   
 13. Z

  Ze Bingwa Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kakah umenena.......bravoooo
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Maneno yako yamenigusa sana.
  Dah, Mungu yupo lakini.
  Inabidi mchakachue. Nenda mahakama ya wilaya, kamata karani mmoja mpe 10,000 afu muambie akugongee 15 copies. Nao wana njaa tu.
   
 15. m

  mshingantahe Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kama mwajiri kwa nini umwombe mtu cirtified wakati utaziona original wakati wa interview au appointment kama unamchukua mwombaji aanze kupata cost kubwa kabla hata ya kazi application tu kuzituma zaidi ya 10,issue wanaongeza cost ?
   
 16. m

  mshingantahe Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Guys nitawagongeshea kwa tano
   
Loading...