wamiliki St Joseph University ni Mafia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wamiliki St Joseph University ni Mafia

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by komredi ngosha, Jul 21, 2012.

 1. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wana jf,
  kuna chuo kinaendeshwa na wahindi cha St Joseph kwa kweli kinajiendesha kwa mbinu chafu.
  Wamekua wakitegemea njia za Panya kupata fedha ikiwemo kutoa sup kiholela ili wanafunzi wakifanya waweze kunufaikwa kwa pesa za sup(sup zinalipiwa), michango bubu kama vile kulipia tution kwa waliofeli supplimentary exams na kuzuia kimakusudi pesa za bumu wanazopewa na bodi ktk fixed account ili wapate cha juu na kusababisha wanafunzi wengi kuishi maisha ya shida bila hela. Mbaya zaidi wana watu wao bodi na TCU yani hata malalamiko yakienda hakuna kitu halafu wanajiita masista wa katoliki!
  Kwa dhuluma hizo hizo wamezuia malipo ya mafunzo kwa vitendo kwa mwaka wa mwisho mpaka watakapokubali kukatwa madeni ya ada wanayodaiwa.
  swali la kujiuliza, wanapata wapi hiyo jeuri? Wanapoamua kutumia ubabe kuchukua pesa za mafunzo kwa vitendo za wanafunzi wenye madeni ya ada, je haki iko wapi?
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  R.c kabisa ? Ilo nalo ni janga la kitaifa
   
 3. M

  Mwanaharakati Mkweli Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni kushabikia tuu wanafunzi wa chuo hiko wanakaa mbali na jiji na wanapenda sana kujirusha na masomo yanayotolewa pale mengi ya science na ni magumu sana sasa wakicheza kifuatacho sup so inakula kwao kwani elimu ya chuo sio mchezo vijana someni vyuoni huko acheni ushalobaro na ushalohero
   
 4. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  unayajua masomo magumu wewe?
  Pale gpa za kupeana, mfano kuna mwaka wa 4 wameenda India, nasikia wote wamepewa gpa ya 5 eti kwa kua walikubali kwenda India na hivyo kulipia gharama za kuishi kule na kuiongezea chuo kipato
  pia ni rahisi kumkuta mhitimu wa chuo hiki ana gpa ya 5 au first class kali sana lakini kichwani mweupe na hakuna anachojua
   
 5. A

  Aaron JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 2,129
  Likes Received: 2,721
  Trophy Points: 280
  hvi nyie akili zenu fupi mnalazimishwa kusoma hapo!!! Thats Private insititute kama unaona hawatoi kinachotakiwa basi kamlilie kikwete aongeze vyuo vkuu au kafauli usome DIT,MIST,ATC, au COeT.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Huwa ninasikia ni chuo kizuri cha IT and Engineering!!! Haya masomo pia ni magumu kama mwanafuzi si serious na masomo. Ila pia yawezekana yasemayo ni kweli au uongo. Weka evidence hapa mleta mada ili isiwe ni majungu. Hiyo ndiyo itakuwa ni pona yako maana wale ndugu zangu hawakosi kufyekenyua mambo ili mradi kupakana matope.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  sasa kama imeandikwa ktk sheria na taratibu kuwa ulipie supp inabidi ulipie, maana huenda wana-outsource mkufunzi sasa wewe ulitaka zigo la sup zako alibebe nani?
   
 8. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yap, chuo kizuri cha IT hakina hata Internet kwa wanafunzi, hata website ya chuo haikuwepo wameweka mwaka huu june
  wewe muulize anaesoma pale utapata majawabu
  mfumo mbovu+ walimu vilaza = engineer mzuri? May be
   
 9. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  kazeni buti acheni porojo.............
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  sister Mary bado yupo?
   
 11. j

  jpm New Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuweni serious na masomo acheni longolongo!!!
  Mwanafunzi yeyote asitegemee kufaulu bila juhudi. Mimi naamini hakuna mwalimu yeyote anayeweza kukufelisha kwa makusudi ama kukupa alama za juu kwa upendeleo. Juhudi yako ndio itakayokutoa tu!!!!!

  Acha Longolongo na stori za kuharibu sifa ya vyuo vinavyoheshimika kwa kutoa elimu ya uhakika hapa nchini.
   
 12. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Je wewe maane unasoma hapo au unaandika tu???
   
 13. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ..............
   
 14. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  nilivosikia mafia nilidhani wanateka watu nyara, umeenda mbali sana kuwahusisha nao
   
 15. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mtoa mada utakuwa kilaza, una-sap, kwa ubongo wako finyu.
   
 16. F

  Freeman Patrick Senior Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Me brow wangu yupo pale, na anachukua civil eng. Cjawahi kuxikia malalamiko toka kwake, ila nimewahi kuxikia icho chuo kikixifiwa na wa2 mbalimbali when it comes to academic issuez!
   
 17. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Hata chuo unachokiona wewe ni bora UD wapo wa kumwaga, hebu tuondolee u-pupu na GPA yako ya 2.1 hapa.., alaaah

  Nilikuwa sijui, kumbe Private institutes wanasoma waliofeli tu.
   
 18. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ngoja nipunguze ukali wa kauli yako

  "Walioshindwa kufikisha alama za vyuo vya serikali"
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kama ni hivi why don't you get this to public? Kwa maana hiyo graduates from there are likely to be incompetent. Mbona hii ni hatari. Try to reach public in a more wider way like magazeti. Pia najiuliza kwani TCU hawana taarifa hizi? If not wanafunzi wajiunge waandike barua TCU. All this, is the outcome of mushrooming academic institutions, which are unregulated plus unethical managers!!! Tanzania imara!!!
   
 20. C

  Crecent Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh!mtoa mada kama ni interview tu kwangu ameshindwa hayupo compitent....wamiliki wanatoa sup kwani hao ndo ma lecturer,vilevile hakuna wa Tz toka CoET,DIT wanaofundisha part time,kingine kimenifanya nijiulize mara useme watu wanapewa GPA kubwa wakati mada yako sup ni nyingi ili waingize fedha sasa kama wanatoa GPA kubwa wanajingiziaje fedha na hizo sup,sup si zitakua chache na kipato kitakua kidogo,mwisho umetueleza wanatoa GPA sasa iweje wewe tu unyimwe kama huwa wanazitoa tu....INAMANA WEWE UNAONEWA.
  Nimewasilisha tu.
   
Loading...