Recent content by cr7bbc

  1. C

    JamiiForums Tanzania Nitaitumiaje locked iPhone 5 niliyolisi toka kwa marehemu kaka yangu..

    Husika na heading hapo juu.. Hii nmepewa mm toka kwenye mgao wa mali za marehemu tuliyempoteza mwezi mmoja uliopita kutokana na ajal ya gar.. nmejarbu.. Simu nmejarbu password mara3 lakn bado.. naogopa nitaitia lock ngumu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye akaunti ya Facebook ambayo haitumii tufanye biashara

    ni Text nikupe mbili +255687160626
  3. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

    kuna Jembe Bashe na gulamali pale Igunga linafanya yake pale nzega
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka

    Kamuombe magufuli
  5. C

    JamiiForums Tanzania Pendekeza wa kurithi ukatibu wa Dr. Slaa CHADEMA

    SAEED KUBENEA the right man
  6. C

    JamiiForums Tanzania Umaskini tumeshindwa kujaza uwanja wa taifa kisa ni CCM au kichwa cha mwendawazimu?

    Anaongelea hali halisi ya kipato cha mtanzania kilivyo...hakiendani na viwango vya viingilio sasa siasa inatoka wapi
  7. C

    JamiiForums Tanzania Pigo CCM: Asilimia kubwa ya timu ya kampeni wako hoi kisiasa majimboni mwao

    Hili ni tatizo jingine kwa CCM kwa upande wa timu iliyochaguliwa na kamati kuu ya CCM yenye watu zaidi ya 30 ilikumpigia debe Magufuli kwenye kampeni za uchaguzi mkuu unaoanza hivyi tarehe 23 agosti. Wachache kati ya hao ni mh.Steven Wassira ambaye yuko hoi jimboni Bunda ambapo anakabiliana...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa wenye viti CCM, Mgana Msindai achukua fomu ya ubunge Jimbo la Singida

    madaraka gn unayosemea??.. kwani si alishakuwa na vyeo vingi tuu..ndani na nje ya chama....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

    kaijage umerudi tenaa??????....jamani njaa hizi!!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kilombero: Mwenyekiti wa CCM Tano Balali, ajiunga na CHADEMA

    Kumekucha!!..
  11. C

    JamiiForums Tanzania live updates: Uefa champions league final, Barcelona vs Juventus

    Juve wanaume....
  12. C

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya wa rais ajaye: Edward Lowassa hakamatiki

    Team Membe kazi mnayo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya wa rais ajaye: Edward Lowassa hakamatiki

    Ubunge tu ulimshinda mpaka kuhonga.... Itakua urais??...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya wa rais ajaye: Edward Lowassa hakamatiki

    Hatar huyu mtu...
Back
Top Bottom