Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

Joined
Jul 8, 2015
Posts
78
Reaction score
11
Ndg wanaJF...

Nawasalimu kwa imani yangu!

Nadhani halitakuwa jambo baya kama tukijikumbusha na kufahamishana juu ya wanaCCM waliowahi kukiri kumuunga mkono mwanaCCM mwenzao ndg Lowassa ambaye ni mgombea wa CHADEMA.

Mwapachu aliwahi kuzungumza na sasa amemfuata. Je, unadhani ndani ya jimbo lako au kata yako, kuna mgombea wa CCM ambaye atamfuata Lowassa?

Tujulishe na sisi tuwe wa kwanza kufahamu! Pengine aliwahi kukiri kumuunga mkono au kuonesha yuko TeamLowasa... Tufahamishane mapema. Au?

Naomba kuwasilisha...
 
Usituharibie mikakati yetu...unataka tuwataje ili wasiendelee kutupa info za ccm?....
 
kuna Jembe Bashe na gulamali pale Igunga linafanya yake pale nzega
 
Endapo kama atashinda nadhani wengi waunga mnyororo
 
Mark Mwandosya, Pinda, Bilal, Nchimbi, Malecela, Mwinyi, na Jakaya M Kikwete.
 
Back
Top Bottom