Nahitaji mkopo wa haraka

Nahitaji mkopo wa haraka

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
Ndugu mimi ni mfanyakazi wa serikalini,nina shida ya mkopo wa fedha kwa haraka,nipo mkoa wa simiyu
 
Uwe tu makini, hapo utazungushwa kichwa na hata watoto wa sekondari,

Huko pm ndio kabisaaaa, kifupi jf hakuna anayeweza kukupatia hicho kiasi kirahisi.

Watu watakuja pm kutaka kukujua kiundani tu.
 
Uwe tu makini, hapo utazungushwa kichwa na hata watoto wa sekondari,

Huko pm ndio kabisaaaa, kifupi jf hakuna anayeweza kukupatia hicho kiasi kirahisi.

Watu watakuja pm kutaka kukujua kiundani tu.

asante mkuu
 
Back
Top Bottom