Kilombero: Mwenyekiti wa CCM Tano Balali, ajiunga na CHADEMA

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
MWENYEKITI WA CCM AJIUNGA NA CHADEMA.

Mwenyekiti wa Chadema (w) Kirombelo Mhe, Shabani Mikongoro pamoja Katibu Mwenezi wilaya Kamanda Kamonalelo wakiwa wamengozana na Suzani Kiwanga (MB) wamefanya mkutano mkubwa ktk viwanja vya S/Msingi Kata ya Mlimba wilaya ya Kilombero.

Mkutano huo umehudhuliwa na mamia ya wananchi huku baadhi yao wakijiunga na Chadema na wengine wakiludisha kadi za CCM na kuchukua za Chadema.

Katka hali isiyotarajiwa na wengi na ikapelekea kuzua shangwe na nderemo ni pale Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mlimba Bwana Tano Balali ambae pia ni Mwenyekiti wa chama cha wakulima Mkoa wa Morogoro (MVIWATA) alipovua Gamba na kuvaa Gwanda kwa kujiunga na CHADEMA.

Huku akishangiliwa na mamia ya wananchi baada ya kujiunga na Chadena mwenyekiti huyo wa zamani wa CCM amesema!

"Nimekuwa mwanacha wa ccm kwa mda mrefu sana lkn kadri siku zinavozid kwenda na ndivo ccm inavozid kupoteza mwelekeo na kupoteza imani kwa wananchi. Kimekuwa ni chama kinachowalaghai wananchi kwa mda wa miaka yote,viongoz wamekuwa wabaguzi miiungu watu wanachokisema kwa wananchi ni tofauti na wanachotenda.

Nimehangaika kuwatetea wananchi nikiwa Mwenyekit wa chama na Mviwata lkn nimekuwa nikikosa ushirikiano,sasa nimeona bora niungane na wenzangu Chadema kwan wanaonyesha dhamira ya wazi ya kuwatetea wananchi na sio CCM.
Ubabe/wizi/rushwa/ufisadi/makundi hivyo ndio vifurushi walivyovichagua CCM kwa hiyo waacheni wavitumie lkn mwisho wao mwezi wa kumi".

Mbali na makumi waliojiunga na Chadema pia aliekuwa Mjumbe wa serikali ya kijiji cha Mlimba awamu iliyopita kupitia CCM
Devotha Chiwuya nae amejiunga rasmi na Chadema
Mkutano huo ni mwendelezo wa kujenga chama pamoja na kuwahamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura alimaarufu kama Biometric Voter Registration (BVR)
Kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya uchaguzi tar 18/06 ndo ilikuwa siku ya kuanza kuandikishwa Mkoa wa Morogoro, na kwa Tarafa ya Mlimba linaanza tar 20/06/2015.
 
wanagombana wenyewe sasa.ona walivyo mpiga mtangaza nia wa uraisi,nusura wa muue.Tokeni wote ili wabaki wenyewe wakiwa wagombea uraisi watupu na wapiga kura wawe wenyewe
 
Mkuu Kirombelo ndo wapi????
 
Hongera sn kwa kulitambua hilo kutoka kwenye giza na kuja kwenye mwanga, hakika uko mahali sahihi kbs karibu UKAWA, tutafuta ukombozi wa Nchi hii kutoka kwa wakoloni weusi yaani ccm.
 
Mwenyekiti wa ccm wa kata! ulivyoipamba nikadhani labda wa wilaya! huyu alikuwa msaliti siku nyingi tu.
 
natoa wito kwa watu wote wenye nia njema na nchi hii waje cdm leo , msisubiri lango kufungwa , avoid last minute rush .
 
Back
Top Bottom