Utafiti mpya wa rais ajaye: Edward Lowassa hakamatiki

Utafiti mpya wa rais ajaye: Edward Lowassa hakamatiki

Kaplizer

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
726
Reaction score
597
Hii ni kwa mujibu wa umoja wa wahitimu vyuo vikuu miaka ya 90..
1. Edward Lowassa---»CCM
2.Dr.Wilbroad Slaa---»UKAWA
3.John Pombe Magufuri--»CCM
4.Bernard Membe---»CCM
5.January Makamba---»CCM

My take: huwezi kuyazuia mafuriko kwa kisoda
Souce; Clouds fm
 
Nadhani sasa moderator atangaze jina la mtu aliyetajwa/aindikwa zaidi JF ili ijulikane kuwa ndiyo Rais. Maana kwa siku andiko kuhusu Lowasa ni zaidi ya tano hadi kumi.
 
Nadhani sasa moderator atangaze jina la mtu aliyetajwa/aindikwa zaidi JF ili ijulikane kuwa ndiyo Rais. Maana kwa siku andiko kuhusu Lowasa ni zaidi ya tano hadi kumi.

Ujumbe umefika...
 
Kwa nini azungukwe na watu waliohusishwa na Richmond,huyu Rostam inasemekana alikuwa mmiliki,huyu Karamagi naye alijiuzuru kwa sakata lilelile,halafu kuna Chenge daaah
 
Safari ya matumain ndo imeanza hivyo...
 
Samahani natoka nje ya mada! 'HIVI LOWASA ANA DEGREE YA NINI VILE?'
 
Mhhh low as a Kwa mbaliiiiii mgufuri mvutoooo hana hao wenginebado sana
 
Hii ni kwa mujibu wa umoja wa wahitimu vyuo vikuu miaka ya 90..
1. Edward Lowassa---»CCM
2.Dr.Wilbroad Slaa---»UKAWA
3.John Pombe Magufuri--»CCM
4.Bernard Membe---»CCM
5.January Makamba---»CCM

My take: huwezi kuyazuia mafuriko kwa kisoda
Souce; Clouds fm

Hivi chadema hakuna wagombea zaidi ya huyo namba mbili? nauliza tu
 
Hii ni kwa mujibu wa umoja wa wahitimu vyuo vikuu miaka ya 90..
1. Edward Lowassa---»CCM
2.Dr.Wilbroad Slaa---»UKAWA
3.John Pombe Magufuri--»CCM
4.Bernard Membe---»CCM
5.January Makamba---»CCM

My take: huwezi kuyazuia mafuriko kwa kisoda
Souce; Clouds fm
kama mzazi wako alikupeleka shule kwa pesa zake ni bore angekuja hapa river side akeshe akinywa pombe atengeneze kitambi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom