Wadau, naitaji Internet kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, naishi mbezi Luis njia ya goba. Any leads will be appreciated Chief-Mkwawa donlucchese Mwl.RCT
Wadau poleni majukumu no straight to the point. Nimeona kuna lorry limepinduka maeneo ya Kimara na limeziba njia ya upande wa waendao Mbezi mwisho, sasa ndio nataka kuchomoka mjini na naomba kujua kwa aliyekuwa maeneo hayo vipi wameshalitoa? Ama nitafute njia mbadala.
Wadau, poleni kwa majukumu na mapambano dhidi ya adui covoid 19.
Nimepitapita mitandaoni nikakutana na mtu anauza hizi taa hivyo nikaona nije mbele yenu kuomba ushuhuda wa mtu ambaye ameshawahi tumia ama anatumia izi taa za kuulia mbu kama je zipo effective kwa kuangamiza mbu ama ni porojo tu...
Naunga mkono hoja mkuu, namimi ni shabiki mkubwa sana wa XBOX controller jinsi inavyojaa mkononi, ila napendelea PS kwa sababu tu wana exclusive games nyingi nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wadau wa game, naona sony wameanza kudhihirisha polepole muonekano wa game yao mpya Ps5 baada ya kuanza na controller yake ambayo wameiita DualSense. Ps5 inatazamiwa kuwekwa sokoni kwa mara ya kwanza mwishoni mwa mwaka huu,
Mnaionaje, maana mashabiki wameshaanza kusema Design language yake...
Umofia kwenu wakuu.
Awali ya yote ningependa kuwapa pole kwa hili janga la Corona na tuzingatie utaratibu uliotolewa na wataalamu wa afya juu ya namna gani ya kujikinga.
Twende katika hoja yangu. Kumekuwa na utaratibu wa mitandao ya simu nchini pindi Number ikawa offline kwa kipindi fulani...
Mkuu, angalia walau basi uchumi wa nchi husika, kuna makampuni multi national mangapi yenye exposure world wide Na yanayotengeneza mkwanja mrefu kati ya Nigeria na Tanzania.
Uchumi wa nchi kama Nigeria na South Africa makampuni yana uwezo mkubwa wa kutoa endorsement kwa pesa ndefu ata kwa...
Nancy Pelosi amechana nakala yake ya Hotuba ya Rais Donald Trump mara tu baada ya Rais huyo kumaliza kuhutubia
Rais Trump alitoa hotuba kuhusu ‘State of the Union’ Bungeni mbele ya Wabunge walionekana kuipigia makofi hotuba yake
Kwenye Kikao hicho cha State of The Union Bunge pia litajadili...
Lebel zote duniani ni za kinyonyaji, maana ata mase kampa kubwa aliyekuwa boss wake puff daddy pale badboys record kwa kumpa malipo finyu kwenye kazi zake. Sasa izi kelele za nini
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.