Playstation official page wametoa muonekano wa Ps5 controller

Playstation official page wametoa muonekano wa Ps5 controller

coyyote

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
53
Reaction score
88
Wale wadau wa game, naona sony wameanza kudhihirisha polepole muonekano wa game yao mpya Ps5 baada ya kuanza na controller yake ambayo wameiita DualSense. Ps5 inatazamiwa kuwekwa sokoni kwa mara ya kwanza mwishoni mwa mwaka huu,

Mnaionaje, maana mashabiki wameshaanza kusema Design language yake inafanana na XBOX controller.
IMG_20200407_230701.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo si pad mkuu, nilidhani wametoa muonekano wa console yenyewe, ila bei yake itakuwa sio mchezo, maisha yakininyookea labda nitatimiza ndoto yangu ya kumiliki kama pia sitotamani kitu kingine.
 
hiyo si pad mkuu, nilidhani wametoa muonekano wa console yenyewe, ila bei yake itakuwa sio mchezo, maisha yakininyookea labda nitatimiza ndoto yangu ya kumiliki kama pia sitotamani kitu kingine
Bloggers wengi wanadai haitokuwa tofauti sana na bei ps4 wakati ina launch, kwahiyo itakua kwenye $399 mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi napenda huu muundo wa xbox, umekaa kiume sana ukishika mkononi inajaa. kwenye long game session hata hivi viunga vya dole gumba vinarelax.
Naunga mkono hoja mkuu, namimi ni shabiki mkubwa sana wa XBOX controller jinsi inavyojaa mkononi, ila napendelea PS kwa sababu tu wana exclusive games nyingi nzuri.
retrogamingtommy2-20200408-0001.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
XBOX ndo baba lao, wameshaanza kuwaiga taratibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom