Naomba kujua Effectiveness za hizi mosquito killer lamps

coyyote

Member
Aug 12, 2018
53
88
Wadau, poleni kwa majukumu na mapambano dhidi ya adui covoid 19.

Nimepitapita mitandaoni nikakutana na mtu anauza hizi taa hivyo nikaona nije mbele yenu kuomba ushuhuda wa mtu ambaye ameshawahi tumia ama anatumia izi taa za kuulia mbu kama je zipo effective kwa kuangamiza mbu ama ni porojo tu?

Maana kipindi cha masika mbu nao wamekuwa wengi hivyo ili kujikinga na malaria pia ni muhimu kuwateketeza ndani ya nyumba.

-11680413101038865156.jpg
-16603469651365680520.jpg
Screenshot_20200428-222640.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa kuelewa taa inauwaje mmbu???na mimi nisubiri hapa naweza kupata mawili matatu ya kujifunza

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nashindwa kuelewa taa inauwaje mmbu???na mimi nisubiri hapa naweza kupata mawili matatu ya kujifunza

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mwanga unawavuta mbu then wanafyonzwa kuingia kopo lipo chini. Huko watakufa kwa njaa. Ndio maana hushauriwi kufungua hilo container usije waachia huru. Nishawahi kuja fungua nikakutana na maiti za kumwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanga unawavuta mbu then wanafyonzwa kuingia kopo lipo chini. Huko watakufa kwa njaa. Ndio maana hushauriwi kufungua hilo container usije waachia huru. Nishawahi kuja fungua nikakutana na maiti za kumwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp mkuu, ipo effective? Nikiacha usiku kucha mbu wanaisha kwa sehemu kama chumbani ama bora nitumie rungu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom