Recent content by CountryKing

  1. CountryKing

    Mechi iliyochezwa muda mrefu zaidi duniani

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. CountryKing

    Mabasi gani mazuri kutoka Dar kwenda Kigoma?

    Ota is the best lakini Adventure na Saratoga ndio zinafika Kasulu.
  3. CountryKing

    Kilimo cha miti ya mbao - Kibondo

    Nenda ofisi za maliasili hapo Kibondo ninaamini utakuta mtu aliyesomea mambo hayo
  4. CountryKing

    Photo

    That has nothing to do with performance. I studied in a school like that and I passed. I never wore shoes all my primary school life
  5. CountryKing

    Watatu wakamatwa na Bangi debe ishirini Dodoma

    Vijana Watatu (Majina name umri havijapatikana) wamekamatwa na madawa ya kulevya yanayosadikiwa kuwa Bangi yaliyokuwa yakisafirishwa kwenda kujibu Dar es Salaam. Madawa hayo yalipakiwa katika Basi number T 931 CGU la kampuni ya New Force iliyokuwa inatoka Kahama kwenda Dar. Madawa hayo yalikuwa...
  6. CountryKing

    Siasa:Ukombozi au Ugonjwa?

    Nimekulia katika jamii ya kitanzania ambayo viongozi wetu wa kisiasa sio tu wana nafasi kubwa katika nchi yetu bali hata katika Maisha binafsi Ya watanzania. Jambo ambalo naliona mimi ni ile nafasi tuliyowapa wanasiasa katika Maisha yetu hawaistahili (not worthy) au niseme tumeitegemea sana...
  7. CountryKing

    Tukitoa lift tuwe makini sana uwii

    Mkuu kuwa na heshima kwa left handed people
  8. CountryKing

    ITV muwe mnatumia akili wakati mwingine kwenye kipima joto chenu..

    Baada Ya Matokeo wanasema hayo ni Maoni ya watazamaji sio msimamo wa ITV, wakati swali limekaa kwa namna unajua anataka ujibu vipi
  9. CountryKing

    Israel na ukiristo

    Nakubaliana na wewe mkuu hapo, nimequote Mat 4:12 alisita kumbatiza Yesu. Reason why alidoubt Kama ndiye sijui, labda kuna namna alivyokuwa ana perception ya masihi kichwani ikawa tofauti. Ukisoma "the killing of Jesus " wanasema wayahudi wengine walimkataa Yesu kwa sababu walitegemea masihi aje...
  10. CountryKing

    Israel na ukiristo

    Now we are talking, Yohana alimkubali but wayahudi wengine walimkataa probably coz wamestick kwenye their traditional way of worship. Sababu hyo hyo inawezekana Mpaka leo hawajamkubali. !!!
  11. CountryKing

    Israel na ukiristo

    Ukisoma habari za yesu, makuhani (unaowafananisha Na Samwel ) Walikuwa corrupt! Unadhani Mungu angemtumia mtu corrupt kutangaza mpakwa mafuta wake?
  12. CountryKing

    SWALI KWA BOYS wa kichagga

    Kwa sababu wana mapenzi ya kweli
Back
Top Bottom