Tukitoa lift tuwe makini sana uwii

Tukitoa lift tuwe makini sana uwii

Bado muerewa anataka mabituz ama pesa yanguu tu

batoti bashule numa sana mywe makinii rafiki yangu alishaletewa polisi kymbe batoto bakichati chmban banachat na polisi asema ukuye ngiraaukye uwinyi

Bhaaas!
Wapi operation Kimbunga?
 
Huyu alijificha wapi wakati wa operation kimbunga? This time kimbunga kinapita naye!
 
Majuzi NIMENDA KIMARA TOKEA MWENGE WATOTO WA SHULE WATATU WAKAOMBA LIFT WAWILI WA KIKE WAKASHUKA UBUNGO..MMOJA AKAKUYA NA MIMI TUKAPIGA SHALOM SHALOM AKISHUKA AKAOMBA NAMBA YA SIMU NKAJUA LABDA AKIMALIZA SHULE ATATKA MSAADA WA AJIRA DT WHY LOH


SA TATU USIKU BAADA YA SIKU TANO NAPIGIWA KAKA DIDY EEHH

JAMANI JUMAPILI NAENDA SHULE NIONGEZEE LAKIMBILI NIKAFANYE SHOPPING NKAMWAMBIA DA NI NA 50 YA SHOPPING YAMDOGOWAKO SI UNAJUA NINA WATOTO WATATU AKAKATA SIMU

MASKINI ALITAKA KUJIAMBATANISHA AWE MTOTO WA NNE

TUWE MAKINI

we shoga kwanza.
 
Mbulula wa jamiiforum p.Didy
bado kilakukicha una ambiwa una andika madudu hushutuki wala kujirekebisha??
kweli tumetofautiana sana binadamu aaiseeh?
 
Asee Pdidy hii ni too much bana, last week kuna sredi ulipost badala ya watu kucomment hoja ikabidi wakomae na kukosoa uandishi wako kutoeleweka karibu uzi mzima, ajabu haukujitokeza kuedit japo kidogo. Yaani hebu tuambie tu ni lini umewahi kupost hapa JF bila kukosolewa juu ya uandishi wako, kuna wakati watu hatukuelewi kabisaaaa afadhali hata leo kwa mbaaaaali japo kuna comment hapo juu umetumia accent ya sijui ya kikongo au kirundi hiyo? Jana ulisema tatizo ni simu (Huawei smartphone screen touch) mpya bado haujaimaster maana kila neno utakaloandika inakupromt/word prediction on. Basi fanya settings ya kuondoa hyo kitu basi au kabla ya kupost pitia kwanza uzi wako na kuhakiki kama uko sawa na unaeleweka?
Otherwise tuko pamoja Comrade.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom