Nashukuru mkuu. Nilishaenda kwa fundi alikuta ni engine mount ndo imevunjika. Kuhusu kuzima gari ilikuwa ni fuse kuloose ikawa hata switch on inapotea. Ili niliweza kuling'amua nikiwa safarini
Heri ya Christmas na mwaka mpya.
Wakuu Leo nilikuwa na safari ndefu kidogo Sasa nilikuwa nilikuwa natembeza kachombo kangu kwa speed.
Baadaye nikaanza kusikia mlio mkubwa wa kugonga kwenye engine nikipita kwenye rasta kwa speed.
Kausafiri kalizima Kama mara moja kutokana na iyo hali.
Je...
Hawa viongozi wakiwa kwenye majukwaa ya siasa wanajinadi tunajenga uchumi , wakati huku kitaa watu watu wanapoteza mitaji yao kwa kukosa umeme . Inaumiza sana kwa kweli
Kuzaa azae mwanamke wewe dume uombe fao la uzazi. Huko maofisini Kuna dilidili tunazipatapata, Sasa mwanamke akiwa nje ya ofisini hakuna atakachopata, hiyo ndo inafidiapo ilo gepu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.