Fao la uzazi kwa wanaume PSSSF

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,054
994
Wanabodi, hivo ni sababu vipi zenye akili zilizoplekea sisi WANAUME tunyimwe FAO LA UZAZi katika mfuko was hifadhi ya jamii?

Wenye mamlaka wanakuja na hoja dhaifu kabisa kua ....eti nyie wanaume mkiruhusiwa kupata hili FAO LA UZAZi Kila siku utakuja ukipeleka taarifa za kuzaa watoto wapya.

Suala la msingi hapa ni kua kuwekwe ukomo,,,yaani mwanaume ataruhusiwa ama atalipwa FAO hili pale tu itakapotimiza interval ya miaka mitatu na akilefa document zikaguliwe Kwa ufasaha zaidi kuona Kam hakuna Udanganyifu.

Maswali ni mengi sana ya kujiuliza ni sababu vipi hasa zinazo sababisha sisi WANAUME kukosa FAO hili ?

Nawasilisha
 
Kuzaa azae mwanamke wewe dume uombe fao la uzazi. Huko maofisini Kuna dilidili tunazipatapata, Sasa mwanamke akiwa nje ya ofisini hakuna atakachopata, hiyo ndo inafidiapo ilo gepu.
 
Yaani wanatoa Ile wiki 1 sijui 2 za mapumzoko lakini fao hawatoi huu ni utaahira
 
Kuzaa azae mwanamke wewe dume uombe fao la uzazi. Huko maofisini Kuna dilidili tunazipatapata, Sasa mwanamke akiwa nje ya ofisini hakuna atakachopata, hiyo ndo inafidiapo ilo gepu.
Very stupid comment
Point ameelezea vizuri wewe umeingiza utumbo. Labda kama wewe sio mwanaume tukupe taarifa, kuzaa ni kweli anazaa mwanamke lakini gharama za uzazi, huduma za kichanga anazitoa mwanaume na kipindi hiki hayo madili unayoyasema hayapo sababu anakuwa paternity leave.
Na unadhani kila mtu ni mwizi na anapiga deal ofisi aliyopo? Kuna watu wanaishi kwa mshahara mwezi hadi mwezi. Acha watu wajenge hoja.
 
Back
Top Bottom