Recent content by COPD

  1. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

    Chuakachara mie nikipewa nafasi hakika nitakula kwa urefu wa kamba yangu lakini nikipata ajali za kisiasa kama mzee wa mvi nitanyamaza. Sasa hiki kijeba hakiachi kelele wakati mwenyewe umekiri kalikula. Sasa mkuu unasemaje???
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla sijaoa nitampima mpenzi wangu bikra mwanzo alafu UKIMWI

    Anza na kupima bikra yako kama ipo basi endelea na mipango ya kujipima ukimwi maana kwa umri na wako unaweza kuwa ulizaliwa na hiv kama uko safi basi mi pia nakuunga mkono mipango yako
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

    Kuonga ndo kufanya nini bandugu???
  4. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

    Mbafu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

    Hivi huyu mama bado analeta uzi hapaaaa!!! Hata hajaelewa kama hata jf hatutaki wachafu??? Mods please ondoa uzi huu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Mkolani Mwanza

    Mkuu unataka kujenga hotel kwenye ile eka utakayobakiza baada ya mauzo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kunyonya Uke

    Kunyonya ni sawa na kukomba mboga. Unatakiwa uende na ugali afu uwe unachovya hapo tutaona ushamba wako. Xyqvxyyui
  8. C

    JamiiForums Tanzania CRDB ni Moja ya Benki zenye huduma mbovu sana

    Mi nawaona hawafai kwa hii ya sim banking. Nimefanya transaction hadi wiki nzima hawajaeffect transaction afu kwenye account yangu wamefyeka pesa. Afu sim banking ndo wimbo wao. In short ni wezi hawafai.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

    Nyanidume just excuse me I thought I was arguing with a man. Just realized you are a mammalia resembling humans. Your thinking capacity is below zero your higher centers weighs 20 gms or less! ! Shame upon you
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

    Ni kweli mkuu lakini navyoona wewe una akili lakini ni za kijinga.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

    Mkuu Nyati sasa wewe nakuona unaongea issue ambayo ni evidence based. Im aside sigara kubwa bei ndogo tz labda kaonja. Go ahead na asulubiwe
  12. C

    JamiiForums Tanzania Unawajua BeForward Co. LTD Japan

    We Pdidy maandishi gani tena haya yarabi? Tenganisha maneno kwa kubofya space. Au simu ni mpya?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

    Mkuu lukelo umeona element za utetezi wangu hapo ? We acha nimrekebishe Amalinze. Ukisikia umbea ndo huo nahisi na wewe ni mmoja wao
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

    Ni mbaya mkuu lkn mbaya zaidi ni kutangaza. Kama unabishi basi unyooshe mkono uape kama wakati unasoma hukufanya ngono. Km ulifanya basi utulie huyu kapata matatizo ya teknolojia tu lkn naye alikuwa anaburudika km ulivyokuwa unafanya wewe
Back
Top Bottom