Unawajua BeForward Co. LTD Japan

Nimeagiza gari kupitia kwao limefika bila tatizo

Nakubaliana na wewe asilimia zote!

With empirical evidence; nimeagiza gari kutoka BF Japan,nimewaachia BF Tanzania process zote,nimelipata gari langu on time-no storage charges,no extra charge...no what! Niliwatumia hela zote kwa kila hatua wao wakaniambia niende tu kuchukua gari pale ofisini kwao ,

siujui mlango wa TRA wala Bandari i just played with their CRDB bank account,nilifanya hivyo ili kujiridhisha na baadhi ya allegations zilizomo humu kuwa clearing service yao ni mbaya!

My take: Si vizuri kuchafuliana kazi kwa kigezo cha biashara ya ushindani-hata kama ulipata tatizo usifanye generalization just provide feedback ili wajirekebishe au uwaripoti Japan.

Kama huamini hayo ni-PM nitakupa facts!:cool2:
 
Befoward wamenitumia link ya CAP na zimeshapita kama siku 10 hvi hamna update yoyote wanayonipa. Status ya mwisho walikua wamepata nafasi kwenye meli
 
Befoward wamenitumia link ya CAP na zimeshapita kama siku 10 hvi hamna update yoyote wanayonipa. Status ya mwisho walikua wamepata nafasi kwenye meli

Hope wanaendelea na process za kupakia etc..but no worries.ukiona kimya ujue kuna mambo mazuri yanaendelea thereafter wataku update kwa CAP yako!
 
Uwemakini Panamagaribomu a nwdays kun agariniimeleta nimeshindanao wanarekebisha kilasiku !!!nazingine zinanockengine mpakauletewe enginempyabadowafungevibaya niutashaaa naaminiibosiwao wajapan ajuihili
 
Kamaningeek​uwana​​cd4 ndogoningekuwa kwadk makondasasahivi wanavotesaa[JFMP3][/JFMP3]
 
Uwemakini Panamagaribomu a nwdays kun agariniimeleta nimeshindanao wanarekebisha kilasiku !!!nazingine zinanockengine mpakauletewe enginempyabadowafungevibaya niutashaaa naaminiibosiwao wajapan ajuihili
yeuwiiiiii nawe una gari?
 
Trimer nikokempinsky sorry kwamajibu utakayokutananayofortimebeingjihurumie
 
My take: Si vizuri kuchafuliana kazi kwa kigezo cha biashara ya ushindani-hata kama ulipata tatizo usifanye generalization just provide feedback ili wajirekebishe au uwaripoti Japan.

Kama huamini hayo ni-PM nitakupa facts!:cool2:

Kama wewe walikutendea vizuri ni vizuri kuwapa sifa zao ila usiwazuie waliotendewa tofauti kusema waliyokutana nayo.
 
Kama wewe walikutendea vizuri ni vizuri kuwapa sifa zao ila usiwazuie waliotendewa tofauti kusema waliyokutana nayo.

Not that way..hujaelewa basis ya hiyo comment yangu pls.
Kuna watu walikua wanawachafua kutokana na ushindani wa kibiashara ndo ilifanya niseme hivyo!
 
Kweli niliwaandikia wakanijibu kuwa process inaendelea ila system ya ku update ilileta mushkel, na baadae wameniambia meli inaanza kukata maji leo
 
Habari za asubuhi wakuu!

Naomba msaada wenu, nataka kununua gari, na nimefanya mawasiliano na Beforward Co. LTD Japan kwa mtandao wao, na asubuhi hii nimekuta Pro forma Invoice kwa E-mail yangu, wakinitaka nikalipie ndani ya 48 hrs. Naomba msaada kujua uhalali na uwepo wa kampuni tajwa, mi huwa naona bango lao pale Jangwani, hivi vijihela nimevunja kibubu jana, na wabongo wamekuwa watu hatari sana, wasije niingiza mjini!

Natanguliza shukrani, ruksa kupita kimya kimya!

Mkuu fungua web yao. Imetolea ufafanuz fake invoice kwa mifano hai. Usitume fedha kwa mtu yeyote ambaye siyo be forward. Beneficiary lazima awe be forward japan

Ukiingia kwenye web yao kuna maandishi: Be careful with fake be forward emails. Soma vizuri mifano imewekwa humo ya email na invoice halali na fake.

Mimi niliagiza gari kwa beforward na niko nalo safi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom