Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

Mtoto wa Waziri David Mathayo, arekodi Video chafu

Hiyo account ya IG haionekani vizuri niwekee hapa mkuu
 
Duh, kisimu changu cha mchina kinaninyima uhondo, video hii ningefaidi
 
Sasa ile ni "chafu"? mimi nilifikiri ya ngono.

Si vizuri, lakini simu tunawawachia wenyewe na ufirauni wa kila namna siku hizi nje nje kwenye masimu tu.

Tukubali matokeo, ndiyo maendeleo hayo.

Kumbe kwako sio chafu ile, na unaweza kuruhusu mwanao afanye vile ukaona sawa madam😕
 
We Amalinze uzi gani huu leo? We hufanyi ngono??? Kama ndiyo makosa ya binti ni kurekodi? Basi labda si yeye ni mwenza wake ndo kaitoa na Inawezekana wewe na aliyeachia hiyo video ni wamoja. Kwa mtazamo wa haraka we ndo unataka kumpaka binti wa mheshimiwa tope. Acha mambo haya hayana faida. Discuss issues not people. Period

Kama ukiiona hiyo video wala hautasema haya uliyoyaandika ukweli ni kuwa alijua na aliridhia iwe hivyo yeye na mwenzie pia kulikuwa na wanafunzi wenzao kama wanne hivi wakishadadia. mimi nili-conclude kuwa kulikuwa na ushawishi wa sigara kubwa ama unga
 
Kumbe kwako sio chafu ile, na unaweza kuruhusu mwanao afanye vile ukaona sawa madam😕

Mwanangu siwezi kumtolea mfano kwani sasa hivi ni mtu mzima na sijaona upuuzi kama huo alipokuwa mdogo, kama alifanya basi ni kwa siri.

Mnashangaa nini wakati mimi nimeshaona watoto wa miaka kuanzia mitatu wakikatishwa viuno na kushangiliwa na mama zao na baba zao na kusifiwa.

Nimeshaona kuna mpaka disco toto, watoto waaende wakajifunze upuuzi.

Leo hilo la kissing mnaona ajabu? kuna watoto wa miaka 13 kibao wanatiwa mimba, mbona hamkemei au hamuyaoni?

Wacheni double standard, hayo si mema waliofanya hao wanafunzi lakini fikiri wale wanaotiwa mimba wadogo au wanaoachishwa kusoma wakaolewa. Mbona sijawaona kukemea?
 
inahitaji ujasiri kuwa mzazi kipindi hiki.... na binti alikua anatoa ushirikiano bila shuruti utadhani porn star!!! baba anahangaika huku.... am sorrry for the family
 
Iweke lakini sauti toa tusisikie ile miguno miguno kwakuwa kwenye miguno ndo kuna ukosefu wa maadili lakini video sio tatizo hata Mbwa wanacheza sex video.
 
Mkuu Nyati sasa wewe nakuona unaongea issue ambayo ni evidence based. Im aside sigara kubwa bei ndogo tz labda kaonja. Go ahead na asulubiwe
 
Mwanangu siwezi kmtolea mfano kwani sasa hivi ni mtu mzima na sijaona upuuzi kama huo alipokuwa mdogo, kama alifanya basi ni kwa siri.

Mnashanghaa nini wakati mimi nimeshaona watoto wa miaka kuanzia mitatu wakikatishwa viuno na kushangiliwa na mama zao na baba zao na kusifiwa.

Nimeshaona kuna mpka disco totot, watoto waaende wakajifunze upuuzi.

Leo hilo la kissing mnaona ajabu? kuna watoto wa miaka 13 kibao wanatiwa mimba, mbona hamkemei au hamuyaoni?

Wacheni double standard, hayo si mema waliofanya hao wanafunzi lakini fikiri wale wanaotiwa mimba wadogo au wanaoachishwa kusoma wakaolewa. Mbona sijawaona kukemea?

Hatuwezi kemea sababu Muheshimiwa JK alisemaga wanafunzi kupata mimba ni kiherehere chao wenyewe
 
Kama ukiiona hiyo video wala hautasema haya uliyoyaandika ukweli ni kuwa alijua na aliridhia iwe hivyo yeye na mwenzie pia kulikuwa na wanafunzi wenzao kama wanne hivi wakishadadia. mimi nili-conclude kuwa kulikuwa na ushawishi wa sigara kubwa ama unga

Hakuna sigara wala unga ila michezo yao ya ku DARE,
 
Hayo ni mambo ya kifamilia hayatuhusu! Babake awe answerable alishindwaje kuwalea wanawe katika malezi yanayofaa ili hali hakuna alichokuwa anafanya serikalini?
 
Hakuna sigara wala unga ila michezo yao ya ku DARE,

Ku-dare inafanywa kwa siri siyo kama hivyo, hiyo ni dalili ya kuwa mbele dakika tatu, kwani wale wenzao wanawadhihaki kuwa wanamajasho na vijineno vingine vya dhihaka huku wakiwaelekeza cha kufanya nao hasa huyu binti wamo tu! By the way hivi ile shule ni Mzizima?
 
Back
Top Bottom