Recent content by contour

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mfalme Zumaridi, Kipimo kingine cha imani na mtihani mwingine kwa mamlaka

    Nikweli hili swala linafikirisha sana kiasi kwamba unjiuliza maswali mengi yasiyo na majibu mfano aliawaza nini mpaka akaamua kujiita yeye ni mungu wakati anajua wazi amezaliwa na ana wazazi hapa duniani je analizungumziaje jambo hili!?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ombi

    Habari zenu waungwana nisiwachoshe yeyote mwenye soft copy ya Kitabu cha " Mabala the Farmer" naomba anipatie . WhatsApp 0692101471 Asanteni sana
  3. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa muongo sana

    Here hii nayo alisema yeye[emoji22]
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume

    Naomba kujitolea kwanza
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Biology and Geography Dar es Salaam

    Kila kheri , pia English Geography nipo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa English Karagwe mjini

    0785573986 find me
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Unafanyaje mzee ili niweze kutumia VPN kwenye simu yangu. Naomba msaada
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tabiri Top 4 yako VPL

    Utawezaje kwenda peponi kabla ya kufa? Na utawezaje kushiriki mashindano ya kimataifa Kama hujachukua ubingwa? Historia ya nyuma inakupa nafasi gani kushiriki mashindano ya Sasa?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mitandao ya simu kuingiza tena sokoni namba ya simu ambayo haijatumika kwa muda fulani?

    Ww ndo hujui. Namba yangu ya Airtel niliyosajili Sasa napigiwa na watu wengi wanamtafuta abdala wa songea wakati mm Niko moro na wala simjui
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

    Mzee inawezekana kweli ndugu kugombania dyu dyu kiasi cha kupeana ngeu?[emoji3]
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

    Sijui ,niulize habari za uchaguzi wa serikali za mitaa nitakujibu@TEMBO KICHAKA,
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

    Dalili zipi hizo za awali ulizoziona mkuu?[emoji848]
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

    Hao hao wawili wanatosha , labda nikupe namba ya mama yao uendeleze harakati Kisha ulete mrejesho humu
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

    Hapo hapo nilipofika anatosha hao wawili wanatosha
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna madhara yoyote yatatokea endapo nimefanya ngono na mtu na mdogo wake?

    Nashukuru Mungu natumia kinga
Back
Top Bottom